goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,415
- 2,358
Kumbe ameamua kuchukua fomu ili kuchekesha watu!!Msanii wa uchekeshaji Mpoki amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Kigamboni.
Katika kura za maoni atachuana na Makonda aliyekuwa mkuu wa mkoa wa DSM.
Maendeleo hayana vyama!
======
Mchekeshaji na Mtangazaji,Sylvester Mujuni maarufu kwa jina la Mpoki leo Alhamis 16.7.2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.
View attachment 1508593