Kumbe ameamua kuchukua fomu ili kuchekesha watu!!Msanii wa uchekeshaji Mpoki amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Kigamboni.
Katika kura za maoni atachuana na Makonda aliyekuwa mkuu wa mkoa wa DSM.
Maendeleo hayana vyama!
======
Mchekeshaji na Mtangazaji,Sylvester Mujuni maarufu kwa jina la Mpoki leo Alhamis 16.7.2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.
View attachment 1508593
Hawa ndio wanatakiwa bungeni.Kumbe ameamua kuchukua fomu ili kuchekesha watu!!View attachment 1508647
Kesho ndio mwisho bwashee!Hahahahah daaah one of these days nitachukua na Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu photo Shop AKA Picha dukaMsanii wa uchekeshaji Mpoki amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Kigamboni.
Katika kura za maoni atachuana na Makonda aliyekuwa mkuu wa mkoa wa DSM.
Maendeleo hayana vyama!
======
Mchekeshaji na Mtangazaji,Sylvester Mujuni maarufu kwa jina la Mpoki leo Alhamis 16.7.2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.
View attachment 1508593
Sitashangaa nikimwona na ebitoke a kichukua formMsanii wa uchekeshaji Mpoki amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Kigamboni.
Katika kura za maoni atachuana na Makonda aliyekuwa mkuu wa mkoa wa DSM.
Maendeleo hayana vyama!
======
Mchekeshaji na Mtangazaji,Sylvester Mujuni maarufu kwa jina la Mpoki leo Alhamis 16.7.2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge Jimbo la Kigamboni jijini Dar es Salaam.
View attachment 1508593
Chopa ni msomi yule ana MastersHii safu yao ikipita ni shida bungeni, Piere Liquid,stive nyerere,mpoki,Dr shika,kigwendu,Ringo ,MC pilipili,chopa mchopanga,
Mpoki amejitokeza kuomba ridhaa ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni. Mpoki ni msanii wa vichekesho, mshehereshaji, mtangazaji wa kipindi cha Ubaoni redio ya EFM na pia ni mwimbaji wa nyimbo za kugani.
Pia soma
> Mpoki ndio mchekeshaji bora wa stand up comedy kwa Tanzania
> Huyu Mpoki vipi jamani?