Your great goal was jealousy.
Hakuna haja ya kutafuta kiswahili mingi. Uzi wa kwanza wa hii mada ulikuwa wa kuambia Magufuli asimpe work permit kwa sababu kuna Watanzania wengi wanaweza hio kazi.
Wivu kwa sababu yeye ni Mkenya. Angekuwa Mhindi au mzungu au Mwafika kusini, haya yote hayangetokea.
Lakini la kushangaza ni kwamba mnashangilia kwamba 'you have finished her'. Hayo ndiyo maneno mliyotumia.
Nadhani mnafaa mtumie kamusi muelewe maana ya maneno mnayotumia.
'Finished her' implies her career is over. But the truth is she still continues to work for the biggest company in East and Central Africa, on senior managerial position.
Wewe, Geza na account zote za Geza mnaoshangilia kwamba 'you've finished her', siwezi shangaa kuwa mnapata tabu ata kununua bundles za kuandika ujinga hapa.
Maskini mjinga anashangilia kwamba 'ame finish' tajiri. Bongolala kweli.