Sylvia Mulinge back at Safaricom after Tanzania blocks appointment

Sylvia Mulinge back at Safaricom after Tanzania blocks appointment

Wabongo bana! Mnayakumbuka haya maneno yenu? Kuna WATANZANIA wengi sana ambao wanaiweza kazi hiyo ambayo Vodacom wanataka kumpa Sylvia Mulinge. Hahaa! [emoji1] Mezeni matapishi yenu basi, kwa raha zenu!

Teh teh teh tihiii
sisi tumeshamaliza KAZI. mbona unarudia rudia mambo?
LENGO letu limeshatimia bana.
 
Watanzania wapo wengi lakini Vodacom ni kampuni binafsi inajiamulia nani wampe kazi, kama vile safaricom alivyompa kazi Bob Collymore. Ila ukija kwenye kibali, serikali ndio imeshika mpini.
 
The next nomination, as we said back in April, should be advanced to Tanzanian authorities for preclearance prior to public announcement. Otherwise its gonna blow up in their faces just like this one. You cant send some unknown yokel with a nutrition degree from Kenya to head up the biggest telecom in the country without giving Tanzanian officials a chance to vet her, its not gonna fly.
Tanzania official to vet her? What is this? Vodacom is not a public owned company.
They hold large percent of shares which means they are in position of choosing the person they like for the better future of their company.
 
Teh teh teh tihiii
sisi tumeshamaliza KAZI. mbona unarudia rudia mambo?
LENGO letu limeshatimia bana.
Kama unavorudia rudia kwamba kazi mmeimaliza?
🙂
Watanzania wapo wengi lakini Vodacom ni kampuni binafsi inajiamukia nani wampe kazi, kama vile safaricom alivyompa kazi Bob Collymore. Ila ukija kwenye kibali, serikali ndio imeshika mpini.
Yes but who?
Yep, good question, but who???
 
99%??? ALL parastatals in Kenya are run by Kenyans! Acha nikuache tu jombaa, naona umeanza kupoteza focus.
Haha, ngoja nikufundishe nchi yako. Ukiniambia mashirika ya Kenya yanaongozwa na watu wenaojitambuwa kikabila nitakuekewa, lakini sio kujitambuwa kwa ukenya wao.

Uwizi kwenye hayo mashirika umekithiri kutokana na ukimgusa mmoja, kabila zima linakukomalia.
 
Hehee aisee, waswahili wamesahau huyu binti wao joyce msuya ndo amereport hapa UNEP majuzi tu hajamaliza hata miezi miwili..ila nashukuru vyombo vyetu maana hawajalala, wamekuwa wakikusanya data zake pole pole tu...be assured tunalifanyia kaziii![emoji109] [emoji16] View attachment 879596
Ameolewa naonanapichakabisaumemweka
 
Dah! Huyu mwanamke wa kikenya anawakosesha usingizi na tayari keshapata kazi, tena kwenye kampuni ambayo ana chance ya kupanda cheo. Mtizameni kwa mbali tu jombaa.
Amepata kazi au amebaki katika nafasi yake?, hilo halituhusu, we can't allow nyang'au to contaminate our sterile countr. Tanzania is a holy country, nor impunity or corrupt idea is allowed, abaki huko kwenu kunakoruhusu uozo na uvundo.
 
Teh teh teh tihiii
unafikiri sisi tuna shida na mshahara WAKE. hata akimzidi Uhuru sisi hatumo.
kwa ufupi KAZI YETU IMEISHA KWA MATOKEO.
Ahaaa haaa haaa

Shida ni kusherehekea ati you 'finished her'.

Kweli mnajua maana ya maneno mnayotumia?
Hakuna yeyote hapa wa bongolala anayeweza fika career level ya Mulinge, wala mshahara. Lakini hapa mnasema you 'finished her'.
Kuna upungufu wa akili huko bongolala.
 
acha kuongea kinyonge bwana mdogo. no one is concerned with her salary plus fringe benefits. that's for her. hata mkitaka kumpa mshara ZAIDI ya Uhuru na Ruto sisi haituhusu. our great goal was to get rid off vices, that's pure and simple.
 
Your great goal was jealousy.
Hakuna haja ya kutafuta kiswahili mingi. Uzi wa kwanza wa hii mada ulikuwa wa kuambia Magufuli asimpe work permit kwa sababu kuna Watanzania wengi wanaweza hio kazi.

Wivu kwa sababu yeye ni Mkenya. Angekuwa Mhindi au mzungu au Mwafika kusini, haya yote hayangetokea.

Lakini la kushangaza ni kwamba mnashangilia kwamba 'you have finished her'. Hayo ndiyo maneno mliyotumia.
Nadhani mnafaa mtumie kamusi muelewe maana ya maneno mnayotumia.

'Finished her' implies her career is over. But the truth is she still continues to work for the biggest company in East and Central Africa, on senior managerial position.
Wewe, Geza na account zote za Geza mnaoshangilia kwamba 'you've finished her', siwezi shangaa kuwa mnapata tabu ata kununua bundles za kuandika ujinga hapa.
Maskini mjinga anashangilia kwamba 'ame finish' tajiri. Bongolala kweli.
 
Lakini nanyinyi simliwakataa madaktari kutoka Tanzania kwa kigezo kenya ina madaktari wakutosha, sasa tabu iko wapi?
 
Lakini nanyinyi simliwakataa madaktari kutoka Tanzania kwa kigezo kenya ina madaktari wakutosha, sasa tabu iko wapi?

Different matter. Serikali ya Kenya ilikuwa inataka kuwafuta madaktari wa Kenya ambao walikuwa on strike.
Alafu, daktari moja au wawili hakuna shida. Lakini kuleta madaktari karibu mia saba... huo ni wazimu.

Jambo lingine, Wakenya bado walikataa madaktari kutoka Cuba (lakini serikali bado ikawaleta).
Kumaanisha Kenya haina chuki na nchi moja. We apply equality.

Shida ya Tanzania ni chuki na wivu kwa wakenya. Hiyo kazi ya Vodacom ingepewa mtu wa nchi ingine, hakungekuwa na haya maneno yote.
 
Back
Top Bottom