Sylvia Mulinge back at Safaricom after Tanzania blocks appointment

Atapata tabu sana kupata kazi nje ya Kenya kutokana na kesi ya mauwaji iliyoisha kimaajabu.
Acha wivu, mbona Vodacom walimfata wao wenyewe? Yaani sasa hivi atafanya kazi kwao nyumbani, akuze nchi yake, bila ya kufatafatwa na wachawi kama wewe, mshahara mkubwa zaidi ya ule ambao angelipwa na Vodacom. Kama imekuuma wasiliana na Safaricom Customer Care. 😎
 
Teh teh teh tihiii
sasa yote hayo yanatoka wapi kaka?
acha povu bana!!!
sisi kazi kwa upande wetu tumeshamaliza, hata huko mkimpa urais sisi wala hatumo.
 
Mbona tumempa kazi tena Safari Com, wa TZ sisi ni watu wenye huruma sana, since majority of shares belongs to Tanzanians☺☺
Unaumwa, serikali ya Kenya ndio ina shares nyingi Safaricom hizi zingine zinazouzwa huku mitaani hazizidi hata 5%. Mimi mwenyewe hapa nilikuwa na shares Safaricom, ila niliziuza.
 
Acha wivu, mbona Vodacom walimfata wao wenyewe? Yaani sasa hivi atafanya kazi kwao nyumbani, akuze nchi yake, bila ya kufatafatwa na wachawi kama wewe, mshahara mkubwa zaidi ya ule ambao angelipwa na Vodacom. Kama imekuuma wasiliana na Safaricom Customer Care. 😎
Ni vodacom ndio walimfuata sio GoT, kokote atakapoenda lazina hii kesi iwe disclosed to the authority. Hapo Kenya kuna watu wanamkingia kifua lakini nje ya Kenya hadithi inaweza kuwa vingine.
 
Teh teh teh tihiii
sasa yote hayo yanatoka wapi kaka?
acha povu bana!!!
sisi kazi kwa upande wetu tumeshamaliza, hata huko mkimpa urais sisi wala hatumo.
Mbona basi unamfata fata huyo mwanamke ukimuita muuaji? Au alikunyima kinembe? [emoji1] Alafu mlifanikiwa kumpata mmisri eeh? Hamna yeyote wa kiwango cha Sylvia Mulinge Tz nzima? [emoji15]
 
Ni vodacom ndio walimfuata sio GoT, kokote atakapoenda lazina hii kesi iwe disclosed to the authority. Hapo Kenya kuna watu wanamkingia kifua lakini nje ya Kenya hadithi inaweza kuwa vingine.
Dah! Huyu mwanamke wa kikenya anawakosesha usingizi na tayari keshapata kazi, tena kwenye kampuni ambayo ana chance ya kupanda cheo. Mtizameni kwa mbali tu jombaa.
 
Mbona basi unamfata fata huyo mwanamke ukimuita muuaji? Au alikunyima kinembe? [emoji1] Alafu mlifanikiwa kumpata mmisri eeh? Hamna yeyote wa kiwango cha Sylvia Mulinge Tz nzima? [emoji15]

Teh teh teh tihiii
hamna anayemfuata. sisi tulikuwa na jambo letu na tumelikamilisha kwa matokeo.

halafu huyo mwanamke sijawahi hata mfikiria wala kumzimia.

mmisri hana shida, na ni kijana mnyenyekevu sana. tumemkubali.

hamna kama Sylivia kwa maana gani?
 
A solid win to the interests of Tanzania. NOW, his Excellency JPM should revoke partnership btn EABL n Serengetibrew as has not n will never be beneficial to Serengetibrew. For a better growth of Serengetibrew should be placed under direct management Diageo Plc n not greed influence from individuals in Nairobi.
Come with a thread and prove it, it always works you know we are waiting...
 
Dah! Huyu mwanamke wa kikenya anawakosesha usingizi na tayari keshapata kazi, tena kwenye kampuni ambayo ana chance ya kupanda cheo. Mtizameni kwa mbali tu jombaa.
Good for her, but wingu la kupoteza roho ya mtu litachukuwa zaidi ya kazi na mshahara mnono kupotea.
 
Unaumwa, serikali ya Kenya ndio ina shares nyingi Safaricom hizi zingine zinazouzwa huku mitaani hazizidi hata 5%. Mimi mwenyewe hapa nilikuwa na shares Safaricom, ila niliziuza.
😊😊😊😊 we chizi mishipa ya shingo imekutoka, povu! Any. Way hatutaki manyangau huku, stay with your smelly kibera, thats just about it! We love making you look stupid, when you actually think you are smart!😊😊
 
At first I thought ni roho mbaya tu ila nikaja kugundua kuwa Mulinge alihusika katika kifo cha mtoto wa miaka minane...that case is strong enough to stop her recruitment...it might have been an accident but it will haunt her for the rest of her life...
 
Geza Ulole finished this woman

Kamati ya roho mbaya.

Finished her and yet she still retains a job that neither you nor Geza will ever come close to?

Ng'ang'ana na hali yako. Mulinge ni tajiri na mshahara wake mkubwa utaendelea.
You can bet she is still one of the highest paid executives in East Africa.
 
unafikiri sisi tuna shida na mshahara WAKE. hata akimzidi Uhuru sisi hatumo.
kwa ufupi KAZI YETU IMEISHA KWA MATOKEO.
Ahaaa haaa haaa
 
Good for her, but wingu la kupoteza roho ya mtu litachukuwa zaidi ya kazi na mshahara mnono kupotea.
Teh teh teh tihiii hamna anayemfuata. sisi tulikuwa na jambo letu na tumelikamilisha kwa matokeo.halafu huyo mwanamke sijawahi hata mfikiria wala kumzimia.
mmisri hana shida, na ni kijana mnyenyekevu sana. tumemkubali.
hamna kama Sylivia kwa maana gani?
Wabongo bana! Mnayakumbuka haya maneno yenu? Kuna WATANZANIA wengi sana ambao wanaiweza kazi hiyo ambayo Vodacom wanataka kumpa Sylvia Mulinge. Hahaa! [emoji1] Mezeni matapishi yenu basi, kwa raha zenu!
 
Back
Top Bottom