Syria, Uturuki zilikuwa Christian Countries kabla ya Uislamu

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Kabla ya Uislamu kuja nchi ambayo leo hii zinatambulikana na Uislamu zilikuwa ni Christian Countries.

Hata jina Syria linatokana na Asyrian ambapo asili yao ni Ukristu, mpaka leo hii Asyrian people ni christian wapo lkn ni minority.

Uturuki nayo kabla ya Uislamu ilikuwa ni flourishing Christian Country.

Just for your info, …
 
ASANTE KWA KUMBUKUMBU
 
Wazungu walaini sana walilizimishwa wasilimu au wakatwe shingo wakaamua kukimbia
 
Kabla ya Uislamu kuja nchi ambayo leo hii zinatambulikana na Uislamu zilikuwa ni Christian Countries.

Hata jina Syria linatokana na Asyrian ambapo asili yao ni Ukristu, mpaka leo hii Asyrian people ni christian wapo lkn ni minority.

Uturuki nayo kabla ya Uislamu ilikuwa ni flourishing Christian Country.

Just for your info, …
Una uhakika, ujue kuna tofauti kati ya Wayahudi na Wakristo
 
uturuki ya sasa zamani ilikuwa inaitwa EFESO ndio EFESO kama mnavyosoma kitabu cha waefeso,anguko lake lilitokea usiku wa manane wakati maaskofu wakijadili vitu ambavyo havikuwa vya msingi kwenye kuendeleza kanisa matokeo yake mji ukatekwa kizembe mpaka sasa ni uturuki
 
Back
Top Bottom