ASANTE KWA KUMBUKUMBUKabla ya Uislamu kuja nchi ambayo leo hii zinatambulikana na Uislamu zilikuwa ni Christian Countries.
Hata jina Syria linatokana na Asyrian ambapo asili yao ni Ukristu, mpaka leo hii Asyrian people ni christian wapo lkn ni minority.
Uturuki nayo kabla ya Uislamu ilikuwa ni flourishing Christian Country.
Just for your info, …
Halafu wao wala hawana stori lakini sisi Wabantu ndo tunabebeana mabango.Halafu Syria imetajwa hata kwenye Biblia
Una uhakika, ujue kuna tofauti kati ya Wayahudi na WakristoKabla ya Uislamu kuja nchi ambayo leo hii zinatambulikana na Uislamu zilikuwa ni Christian Countries.
Hata jina Syria linatokana na Asyrian ambapo asili yao ni Ukristu, mpaka leo hii Asyrian people ni christian wapo lkn ni minority.
Uturuki nayo kabla ya Uislamu ilikuwa ni flourishing Christian Country.
Just for your info, …
Ukristo ulienea huko Syria na Uturuki kabla ya ujio wa Uislamu. Hata historia ya dunia ni shahidi wa hilo.Una uhakika, ujue kuna tofauti kati ya Wayahudi na Wakristo
Nani kakataa.Ukristo ulienea huko Syria na Uturuki kabla ya ujio wa Uislamu. Hata historia ya dunia ni shahidi wa hilo.