Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,351
- 9,838
Salaam!
Nchi lazima iende mbele na huu ni wakati wa system kuwa makini na wakati wote kuwa kazini.
Unajua tuambiane ukweli, Kuna watu wengi ndani ya CCM na nje ya CCM wanaomdharau mama..
Matendo yao na maneno yao yako wazi sana!
Na nyuma ya picha inaonekana Kuna muunganiko.
Mama hawezi kutegemea Chama Sana kwa Sasa, humo ndani wasiomtaka ni wengi na unfortunately ndio anaofanya nao kazi!
RC Chalamila jana hakukosea kuongea, tulichokosea kuelewa ni kwanini aliongea vile.. kuzidisha hasira za watu na chuki!
Sijawahi kuipenda CCM kiivyo ila sitamaani nchi yangu igeuke Kenya!
Kuna mengi ya kupoteza kuliko yaliyo ya kupata.
Kama tuliweza kuwa stable kipindi cha Lowasa tunaweza kuwa stable Sasa!