Hata huelewi unachoshangilia hapa na huna uelewa wowote juu ya pesa zinaibiwaje online!Tenda ilisha tangazwa na bank tatu kubwa zimeshinda yani ni full kiama.
Laiti ungelijua kuwa wasimamizi wa kodi zetu wametupwa mbali ili usijue lolote juu ya matumizi yasiyokuwa na mpangilio na uliojaa wizi mkubwa ambao haujawahi kutokea katika historia ya wizi hapa nchini usingekuja na bandiko lako!
Ni kwanini CAG na bunge watupe katika usimamizi wa matumizi na badala yake yeye na mpwawe ndio waamue nini cha kununua na nani wa kumlipa bila kufuata mamlaka za ununuzi wa umma? Huko hutaki kujihoji kwani huna ulijualo! Nyamaza na acha kujipendekeza ili ushibe!