Tetesi: System mpya ya malipo yote ya Serikali kupitia Mabenki

Tetesi: System mpya ya malipo yote ya Serikali kupitia Mabenki

Tenda ilisha tangazwa na bank tatu kubwa zimeshinda yani ni full kiama.
Hata huelewi unachoshangilia hapa na huna uelewa wowote juu ya pesa zinaibiwaje online!
Laiti ungelijua kuwa wasimamizi wa kodi zetu wametupwa mbali ili usijue lolote juu ya matumizi yasiyokuwa na mpangilio na uliojaa wizi mkubwa ambao haujawahi kutokea katika historia ya wizi hapa nchini usingekuja na bandiko lako!
Ni kwanini CAG na bunge watupe katika usimamizi wa matumizi na badala yake yeye na mpwawe ndio waamue nini cha kununua na nani wa kumlipa bila kufuata mamlaka za ununuzi wa umma? Huko hutaki kujihoji kwani huna ulijualo! Nyamaza na acha kujipendekeza ili ushibe!
 
Utabakia tu na escrow saivi chadema hawana sera hizi ndio zilikua sera zenu ila saivi ni Zilipendwa
Utaishiwa utetezi sasa hivi! Tuanze na zile za ujenzi wa uwanja wa bombadia na bombadia zenyewe! Mlipigwa tena parefu tu kwani bei zake siyo mliyoambiwa. Rudi kwenye ujenzi wa ofisi za tra kule kwake ambapo gharama yake imezidi sana kuliko ile ya ujenzi wa mabweni ya udsm! Thubutuni kumruhusu cag aperuzi makabrasha yenu kama hamtakimbia hapa!
 
Back
Top Bottom