baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Tanzania Ina system ya kubebana na kubeba watu wasiokua na uwezo ndo imefisha nchi hapa akitoka Jaji kuongea anaongea kama mtu wa darasa la saba au hajawai kwenda shule kabisa.
Tanzania hii huna mtu yoyote kwenye system hata Kama una uwezo umesoma kiasi gani kama huwezi kujipendekeza au kua na mtu kwenye system wewe hiyo elimu yako na uwezo wako si chochote kwenye hii nchi.
Leo Tundu Lissu anaweza kupelekwa mahakamani kimya kimya hiyo yote ni kua na mifumo mibovu ya kulinda watu flani na kulipa fadhila kama nchi hatuwezi kutoka hapa tulipo kama hatuwezi kukataa hii mifumo hata watoto wetu tunaopeleka shule ni bure si chochote hata tender tu za serikali huwezi kupata kama huna mtu GenZ walichokua wanakifanya 29 October ni kuvunja hii system kandamizi iliyoshikiliwa na watu wachache sana