HaswaaaaaaaaTanzania Ina system ya kubebana na kubeba watu wasiokua na uwezo ndo imefisha nchi hapa akitoka Jaji kuongea anaongea kama mtu wa darasa la saba au hajawai kwenda shule kabisa.
Tanzania hii huna mtu yoyote kwenye system hata Kama una uwezo umesoma kiasi gani kama huwezi kujipendekeza au kua na mtu kwenye system wewe hiyo elimu yako na uwezo wako si chochote kwenye hii nchi.
Leo Tundu Lissu anaweza kupelekwa mahakamani kimya kimya hiyo yote ni kua na mifumo mibovu ya kulinda watu flani na kulipa fadhila kama nchi hatuwezi kutoka hapa tulipo kama hatuwezi kukataa hii mifumo hata watoto wetu tunaopeleka shule ni bure si chochote hata tender tu za serikali huwezi kupata kama huna mtu GenZ walichokua wanakifanya 29 October ni kuvunja hii system kandamizi iliyoshikiliwa na watu wachache sana
Nani kuapendelewa?Tanzania Ina system ya kubebana na kubeba watu wasiokua na uwezo ndo imefisha nchi hapa akitoka Jaji kuongea anaongea kama mtu wa darasa la saba au hajawai kwenda shule kabisa.
Tanzania hii huna mtu yoyote kwenye system hata Kama una uwezo umesoma kiasi gani kama huwezi kujipendekeza au kua na mtu kwenye system wewe hiyo elimu yako na uwezo wako si chochote kwenye hii nchi.
Leo Tundu Lissu anaweza kupelekwa mahakamani kimya kimya hiyo yote ni kua na mifumo mibovu ya kulinda watu flani na kulipa fadhila kama nchi hatuwezi kutoka hapa tulipo kama hatuwezi kukataa hii mifumo hata watoto wetu tunaopeleka shule ni bure si chochote hata tender tu za serikali huwezi kupata kama huna mtu GenZ walichokua wanakifanya 29 October ni kuvunja hii system kandamizi iliyoshikiliwa na watu wachache sana
Acha kushusha hadhi ya super glue elimu yake ni gundi ya mpapai.We imagine ktk watz woote wasomi eti Wanu Samuya ndiye naibu waziri wa elimu hahahaahh
Mtu mwenye elimu ya kuunga unga kwa super glue!.
Watu ambao kabisa hawana uwezo ndo wanaongoza nchi hawana hata vision no aibuWanu na mama yake ni matokeo ya JK!
JK alikataliwa na mwalimu, akaja akaupata urais na hadi anatoka ilikuwa kuvaa nembo ya CCM ni aibu kubwa!
Kaja JPM kafanya yake, muda wa miaka sita tu amefanya kazi kubwa kuliko zooote za JK tangu akiwa waziri hadi kuwa rais, wahuni wakala kichwa akawekwa huyu muuaji sasa.
Amekuja kuizika kabiisa CCM (kumalizia kazi aliyoianza)..kaunajis mkutano mkuu wa chama mbele ya watz wote...(Ccm ina wenyewe) kamweka mtu wake na mwanawe na mkewe ...wameua watu wasio na hatia na hawajutii..wametuletea tume ya hovyo na matokeao ya hovyo..
Adui wa taifa kwa ss ni JK!
Nimecheka sana hapa 🤣🤣Akitoka Jaji kuongea anaongea kama mtu wa darasa la saba au hajawai kwenda shule kabisa.