GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sidhani ila kama walifanya hivyo basi nitaongeza Kiwango changu cha Kuwadharau japo wapo huko nisiowadharau.What if kama system ya TZ ilimtengeneza na kumpa promotion kwa sababu zao wanaozijua wao?
Hapo mwisho umemaliza Kwa mafumbo mkuu ungeshuka tuDharau ambazo anazifanya kwa Watanzania na hata Kututukana Matusi kwa Makosa ya Wapumbavu kadhaa wa Kiimani kumuamini na kwenda Kanisani Kwake GENTAMYCINE nina uhakika angeifanya Rwanda kwa Kagame au hapa Uganda kwa Museveni au Israeli kwa Netanyahu hivi sasa angeshakuwa Historia duniani. Nasisitiza tena angeshakuwa Historia duniani kwani hawa Viongozi niliowataja hapa hawana Uvumilivu na Masihara na Wapumbavu kama Yeye na ndiyo maana Nawapenda mno kuliko Mzembe na Mnafiki Mmoja mnywa Wines za Canada na Ufaransa.
Kuna Clip nyingine nimeiona Katutukana Watanzania wote Bonge la Tusi yaani mpaka natamani Mama yenu nae aisikie.angekuwa mfano shida ma dc ocd ndio walikuwa wanakaribishwa kansan ngumh
Jamaa hakupaswa kuachuliwa kirahisi alitakiwa awe ananyea debe
Mapema sana tu Mkuu. Itafute Clip yake nyingine Katutukana Watanzania bonge la Tusi halafu wala hajali na haogopi.Angelazwa Chini
Nimependa sana hii post yako Mkuu kwani huwa napenda Watu wenye Maamuzi ya Kibabe kama haya yako hapa.Mtu anaonesha Taifa ni dhaifu na anakejeli.
W.huyu ndo alipaswa kuokotwa Katavi na suto yake ikiwa imejaa kinachojaa