Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wajinga ndio waliwao, haya makanisa wanayaruhusu sana bila hata kuzingatia kanuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humjui Kagame wala asingefanya hiki ulichokiandika hapa bali angemaliza Shughuli kabisa mapema sana kwa huyu Mpumbavu.Ujinga kama huo angewafanyia Wanyarwanda, from nowhere angejikuta tu anashushwa uwanja wa ndege wa Kigali huku akisindikizwa gerezani na mashushushu wa PK.
Mkuu nimecheka mpaka basi.....!!System yenyewe sasa..
View attachment 3083804
Nakubaliana nawe kwa 100% Mkuu. Yaani Systems za Rwanda, Uganda na Israeli huwa hazilei Wapumbavu kama huyu.Kusema ukweli nchi yetu ina wajinga wengi.
Sidhani Mkuu. System ya sasa ya Kwetu imelala sana kwani ingekuwa makini huyu Mpumbavu sasa angakuwa Historia.Suala la muda tu, wanamzoom tu... akijisahau atayatimba tu
Wako busy wenyewe na mambo ya kimedani kama kuna vitu wanaumakini navyo vileSystem yenyewe sasa..
View attachment 3083804
Kuongezeka makanisa mengi ya kipuuzi na watu kujaa huko makanisani inazidi kudhihirisha jinsi gani nchi ina wapuuzi wengi.Nakubaliana nawe kwa 100% Mkuu. Yaani Systems za Rwanda, Uganda na Israeli huwa hazilei Wapumbavu kama huyu.
Mfumo ndivyo unavyotaka .Kusema ukweli nchi yetu ina wajinga wengi.q
Elimination Squad ninazoziamini na kuzikubali kwa sasa ni za Rwanda, Uganda na Israeli ya kwetu iko kwa Wapinzani tu.Lubumbashi hapo ni karibu, elimination squad zipo majeshi yote hadi kwingineko iweje mtu atudharau kiasi hicho? Kwanza alitakiwa awe ameshasahaulika muda mrefu, kua na akina mwarabu anajiona na yeye ana ulinzi? Comeon
Nitawalaumu alitoka vipi nchini na pesa wameshindwa kuzi block bank? Ila naimani akirudi kesi ya utakatishaji inamuhusu mkuu.Sidhani Mkuu. System ya sasa ya Kwetu imelala sana kwani ingekuwa makini huyu Mpumbavu sasa angakuwa Historia.
Mtani yaani Nimecheka mpaka basi...!!Wako busy wenyewe na mambo ya kimedani kama kuna vitu wanaumakini navyo vile
Nimeona video jamaa linatukana kabisa eti watanzania ni wapumbavu sana... nimezimiss laki tano tano zenu.Jamaa kafanya vyema kabisa ili haya mafia dini, manyumbu majinga yajifunze.
Tukiya elimisha hapa JF yanaona kwamba tunaingilia uhuru wao wa kuabudu.
Sasa acha yapigwe mpaka akili zao zifunguke.
Wajinga ni mtaji.
Wako busy wenyewe na mambo ya kimedani kama kuna vitu wanaumakini navyo vileSystem yenyewe sasa..
View attachment 3083804
Kwanza kuwaita wajinga ni kuwapa hadhi sana.Kusema ukweli nchi yetu ina wajinga wengi.
Kwanza kuwaita wajinga ni kuwapa hadhi sana.Kusema ukweli nchi yetu ina wajinga wengi.
Wenye Akili tukisema kuwa 'System' ya sasa ina tatizo mahala ( japo wapo baadhi nawaheshimu huko wanajua ) mnaona tunawadharau au labda tuna Chuki nao.Nitawalaumu alitoka vipi nchini na pesa wameshindwa kuzi block bank? Ila naimani akirudi kesi ya utakatishaji inamuhusu mkuu.