'System' ya Tanzania ingekuwa Imara kwa Dharau na Matusi ambayo Tapeli wa Kiimani Kiboko ya Wachawi anatufanyia Watanzania hivi sasa angekuwa Historia

'System' ya Tanzania ingekuwa Imara kwa Dharau na Matusi ambayo Tapeli wa Kiimani Kiboko ya Wachawi anatufanyia Watanzania hivi sasa angekuwa Historia

Huyu anatakiwa arudishwe nchini afungwe Hadi arudi kwenye ngozi yake ya kale...aache dhihaka..Kama kuwatapeli ameshatapeli Sasa majigambo ya kazi gani...

Siku mkisikia ya yule wa kawe nahisi humu jf patakuwa hapakaliki
Yule hawezi kujitokeza hadharani mana n mtanzania mwenzenu
 
Dharau ambazo anazifanya kwa Watanzania na hata Kututukana Matusi kwa Makosa ya Wapumbavu kadhaa wa Kiimani kumuamini na kwenda Kanisani Kwake GENTAMYCINE nina uhakika angeifanya Rwanda kwa Kagame au hapa Uganda kwa Museveni au Israeli kwa Netanyahu hivi sasa angeshakuwa Historia duniani.

Nasisitiza tena angeshakuwa Historia duniani kwani hawa Viongozi niliowataja hapa hawana Uvumilivu na Masihara na Wapumbavu kama Yeye na ndiyo maana Nawapenda mno kuliko Mzembe na Mnafiki Mmoja mnywa Wines za Canada na Ufaransa.
Wao ni chadema TU!
 
Sidhani Mkuu. System ya sasa ya Kwetu imelala sana kwani ingekuwa makini huyu Mpumbavu sasa angakuwa Historia.

Hela alibaki anatoa mke wake, na zilikua Kwa jina la mke
Niliwahi kupost hapa namna wachezaji wa kikongo wanavyokuja hapa na kuzalisha wanawake na kutumia watoto wao kujipatia ardhi ili wajenge majumba yao.

Nikaishia kutukanwa.
 
Niliwahi kupost hapa namna wachezaji wa kikongo wanavyokuja hapa na kuzalisha wanawake na kutumia watoto wao kujipatia ardhi ili wajenge majumba yao.

Nikaishia kutukanwa.
Wenye Akili ( IQ Kubwa ) hutukanwa na kuchukiwa na Wapumbavu, Wanafiki na Washamba wengi hapa JamiiForums.
 
JPM kama hawa wadharau nchi aliwafundisha kuheshimu nchi mkawa mnapiga kelele.
Au Rwanda asingeleta dharau hizi

Hata hivyo hatujachelewa, wahusika wafanyie kazi kuiheshimisha nchi
Ulikuwa na point ila umeharibu kumuhusisha Jiwe. Anyway neno langu siyo sheria
 
Niliwahi kupost hapa namna wachezaji wa kikongo wanavyokuja hapa na kuzalisha wanawake na kutumia watoto wao kujipatia ardhi ili wajenge majumba yao.

Nikaishia kutukanwa.
Usiwasahau na wale wanaojiita wanamuziki kumbe huko kwao wengine ni mafundi cherehani lakini wakija Bongo wanajichubua wanajifanya ni wanamuziki.
 
Kisha Watu ( Wazee wa Kazi ) watamaliza Shughuli.
Jamaa kawalia mazuzu hela
Kawachapia madem wake zao
Lazima alete dharau
Muda sana nliendaga mahali
Nkakuta familia moja wanamjadili
Namna ya kwenda kumuona
Walikuwa na shida zao ndugu ywo alikuwa anaumwa waliambiwa wampeleke mln 7 la sivyo ndg yao atakufa,hapo washapigwa 500,000 kama mara 2
Ila sasa ndy walikuwa kwenyw mchakato wa kutafuta mln 7 😄
Wanaumiza vichwa
Nlipowqaikia nkawqqmbia mbona jamaa hyo mzushi tu owanza alikuwa muuza vipodozi vya magendo na alishakutana na msukosuko akachomoka
Huu unabii fix tu ,kuna mama mmoja wacha anishambulie ila juzi walintumia ujumbe wamekubali wenyewe 😄

Ova
 
Dharau ambazo anazifanya kwa Watanzania na hata Kututukana Matusi kwa Makosa ya Wapumbavu kadhaa wa Kiimani kumuamini na kwenda Kanisani Kwake GENTAMYCINE nina uhakika angeifanya Rwanda kwa Kagame au hapa Uganda kwa Museveni au Israeli kwa Netanyahu hivi sasa angeshakuwa Historia duniani.

Nasisitiza tena angeshakuwa Historia duniani kwani hawa Viongozi niliowataja hapa hawana Uvumilivu na Masihara na Wapumbavu kama Yeye na ndiyo maana Nawapenda mno kuliko Mzembe na Mnafiki Mmoja mnywa Wines za Canada na Ufaransa.

Kwa sbb namba moja sio dini yake inayo dhalilishwa...ingekua ni shekhe anakula kitimoto hadharani angetapika ngozi...
 
Back
Top Bottom