SZIFF 2019: Wadau wachukizwa na watoto kupewa tuzo za mwigizaji bora wa kike na kiume

Jamaa wanajitahidi sana ila kuna weakness ndogo ndogo next time wakijipanga vizuri nadhan zitakua nzuri zaidi, sema kuna mijitu inaboa inaenda kuongea pale mbele inapoteza muda mtu kuongea hadi afikirieee ni kama yupo kwenye mtihani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za mwaka jana zilikuwa safi kuliko mwaka huu.!

Back
Top Bottom