Ziliondoka na JK.
Jamaa wanajitahidi sana ila kuna weakness ndogo ndogo next time wakijipanga vizuri nadhan zitakua nzuri zaidi, sema kuna mijitu inaboa inaenda kuongea pale mbele inapoteza muda mtu kuongea hadi afikirieee ni kama yupo kwenye mtihani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha we huna usingizi
Nimemwona choko lokole kaenda mpigia salut Ruby.