Yaani kanibore kama nini!hv huyu mbona anafosi umaarufu!!Nimemwona choko lokole kaenda mpigia salut Ruby.
Picha jamani
Stendi hamna runinga wala visimbuzi.
CC. Wa Stendi
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hebu hukooosijui mmeniona na Mimi nimetoka mbele kwenda mwagia mapesa ruby
Huwa huendi muungisha mchele kweli?
Mchele wa chokoo!!hapana kwa kweliii!!!Huwa huendi muungisha mchele kweli?
Atakuja na magazeti kesho mpaka wamamwagie tindikali ndo atakomaaa
Sent using Jamii Forums mobile app