Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,867
Wameboa sana, lakini mwandiko wako umeboa mbayaaMmmh hawa jamaa wapo local sana
Hapa ndipo unaposema kwenye miti hakuna wajenzi fammliy ya AZAM mmetuangusha kwenye hili
Ubunifu Zero.....
Chukua vijana 2 Clouds
Chukua vijana 2 WASAFI (media)
then conet-does na Team yako ya Azam media nawazi mambo yangekua kwenye Startend ukilinganisha na ubora wa power yanu kwenye kujipromort BTW...
my comments... show IPO boerd labda wa chance gaer angani.....ngoja tuone.....
Instagram filter zinawabeba
Mnoooo!!!wa kawaida hawa mastaa jamani!!!Instagram filter zinawabeba
Lulu naye bomu la magadi.
Baada ya Gabo kunukuu misemo ya marais ambayo kweli hata mimi nimependa sana alivyokuwa mfuatiliaji.
Ila uchoro wa Lulu ni kumzuia Baruan asiendelee kuongea kama kuna kitu cha maana sana anazungumza, halafu anasema "Mnasema Bongo movie hatuna akili, mmesikia".
Kweli kwa hili nimeona Lulu hana akili, mpumbavu mmoja yule.
Badala ya kupongeza mwenzake yeye anakuja na neno la hovyo kweli eti mnasema Bongo movie hatuna akili.
Msamaheni!!!jamani kaah!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuzungumza mbele ya umati ni jambo ambalo linataka mtu mwenye kitu kichwani siyo mtu kama Lulu ambaye anajua kuchokonoa tu kucha za bandia.
Show imepoa ndiyo ila Lulu sijui anafanya nini hapo! Hakuna mchungaji humo ukumbini amuombee alipuke hata mapepo.
Anaboa sana.
Ngoja nkaoge sasaa!!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji16]mda wa mboso khani
Ruby anajua mpaka anakera
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
huthubutuNgoja nkaoge sasaa!!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app