Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Puuzi kweli yule mamalia yaani anaongea tu ili mradi tu kutimiza wajibu.Msamaheni!!!jamani kaah!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano maongezi yake na Ruby kuhusu kuwa mjamzito, mara leta nikushikie hela mara nenda unywe maji, mara mtoto atakuwa wa kiume.
Upuuzi gani huu anafanya humo ukumbini. Haangalii humo wamo wakina nani yeye ni kuongea kama kasuku dume.