Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Majini au nje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majini au nje?
Sana tuu hapa na feni inapepea!!Joto linakupeleka bafuni usiku huu?
Kaona hata akiimba hatapata shangweMaromboso naye akili yake inafanya kazi kweli?.
Anaondoka jukwaani bila kuimba picha yake? [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kalienda kufanya nini sasa kama wimbo uliohit namna ile hakajaimba.
Mnagegedana vipi sasa au ndo kulala majini.?
Sijui kama mwaka Jana wameshindwa kureform wataweza kweli mwaka kesho!!!wamenichosha sanaa
Tatizo lao wanaona wakiwapa umc watu wenye fani zao cjui watafaidi?
Dah mna shida sana.
Sijui kama mwaka Jana wameshindwa kureform wataweza kweli mwaka kesho!!!wamenichosha sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Akichukua Wema tuzo nakunya kutoka Morogoro hadi Mlimani City.
Nikajua mwaka huu itakuwa nzuri zaidi kuliko mwaka jana ila naona wameharibu zaidi.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Akichukua Wema tuzo nakunya kutoka Morogoro hadi Mlimani City.