SZIFF 2019: Wadau wachukizwa na watoto kupewa tuzo za mwigizaji bora wa kike na kiume

Msamaheni!!!jamani kaah!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Puuzi kweli yule mamalia yaani anaongea tu ili mradi tu kutimiza wajibu.

Mfano maongezi yake na Ruby kuhusu kuwa mjamzito, mara leta nikushikie hela mara nenda unywe maji, mara mtoto atakuwa wa kiume.

Upuuzi gani huu anafanya humo ukumbini. Haangalii humo wamo wakina nani yeye ni kuongea kama kasuku dume.
 
Alidhani yupo huko insta.

Back
Top Bottom