Hahaaa...utandawazi bwanaa!!!![emoji3][emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sijui tunaelekea wapi
1. Mkuu wa wilaya mabega nje nguo kama.
anataka kupaa
2. Naibu spika.mabega, makwapa nje
mpasuo huo
Mama Samia, Nakuheshimu sana, shikamoo mama popote pale ulipo, hakika wewe ni mfano wa kuigwa.
ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ✓
Hayo mengine achana nayo na wao ni wanadamu. Siyo kila muda wawe kwenye mavazi ya kuwafunika kama madaktari wa Ebola.Sijui tunaelekea wapi
1. Mkuu wa wilaya mabega nje nguo kama.
anataka kupaa
2. Naibu spika.mabega, makwapa nje
mpasuo huo
Mama Samia, Nakuheshimu sana, shikamoo mama popote pale ulipo, hakika wewe ni mfano wa kuigwa.
ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ✓
Siijuiii!!!kumbe ni mtoto wa profesa shivjii!!
Mimi hapo nimeona hizo za kihindi tuu za kibongo hata 1
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hayo mengine achana nayo na wao ni wanadamu. Siyo kila muda wawe kwenye mavazi ya kuwafunika kama madaktari wa Ebola.
Hizo tuzo zitakuwa na makengeza kama Wema atapata.
Naona umefurahiii!!!katoto wameamua wakape kufunika kombe!!!Hizo tuzo zitakuwa na makengeza kama Wema atapata.
Wema akichukua tuzo nakunya kutoka Morogoro hadi Mlimani City.
Hahahaha hajachukua naona kachukua dogoWema akichukua tuzo nakunya kutoka Morogoro hadi Mlimani City.
Acha lilie kwani machozi yake yana konyagi au super glue kuwa ataziba macho?
Ningekunya kutoka Morogoro hadi Mlimani City, tena na mabasi ya Abood ningeyachafua na kinyesi.