SZIFF 2019: Wadau wachukizwa na watoto kupewa tuzo za mwigizaji bora wa kike na kiume

Mkuu unataka kazi AZAM MEDIA...??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unataka kazi AZAM MEDIA...??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Sitaki kazi Azam Media bali nazungumza kitu ambacho nakielewa Ukiangalia Baadhi ya Chanel za wenzetu Kama DSTV utaona wanaruhusu baadhi ya producer ambao sio wa kwao, Wana sponsors maproducer kutengeneza Contents za ukweli na ukiangalia unaona kabisa kazi imefanyika Hii uleta faida kwasababu Wanaotoka nje ya ofisi yako wanakuwa na jicho la Ziada Mkuu tofauti na waliopo ndani na hii hupelekea Watazamaji kutochoka kuona ladha tofauti tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…