SZIFF 2019: Wadau wachukizwa na watoto kupewa tuzo za mwigizaji bora wa kike na kiume

SZIFF 2019: Wadau wachukizwa na watoto kupewa tuzo za mwigizaji bora wa kike na kiume

Tatizo Kubwa ninalo liona kwa Azam Media ni kutaka kufanya Jambo Kubwa Peke yao Bila Kushirikisha au kutaka kutafuta Wadau kutoka Nje ya Azam Media. Tofauti na Host aliyetoka Nje na baadhi ya nyuma ya Kamera Lakini Azam ilipaswa kuwa Chanel Namba Moja hapa Bongo lakini ndio hivyo kutaka kufanya jambo peke yake na hata Vipindi vyao Kwanini hawataki kuruhusu Vipaji kutoka nje ya Azam?
Mkuu unataka kazi AZAM MEDIA...??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unataka kazi AZAM MEDIA...??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Sitaki kazi Azam Media bali nazungumza kitu ambacho nakielewa Ukiangalia Baadhi ya Chanel za wenzetu Kama DSTV utaona wanaruhusu baadhi ya producer ambao sio wa kwao, Wana sponsors maproducer kutengeneza Contents za ukweli na ukiangalia unaona kabisa kazi imefanyika Hii uleta faida kwasababu Wanaotoka nje ya ofisi yako wanakuwa na jicho la Ziada Mkuu tofauti na waliopo ndani na hii hupelekea Watazamaji kutochoka kuona ladha tofauti tofauti
 
Back
Top Bottom