Hata kamaa[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16]zana mhimuuuKazi na dawa
Namjua kiasi tuu[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Aisee, unamjua sana itakuwa. Ndiyo maana watu wakija Dar hawarudi huku tena.
Dada mzuri huyo.
[emoji115][emoji115][emoji115]Safi sana
Huyo anayemfunga hicho kishikizo awe makini maana kwa sasa Wema ana tumbo kubwa. Anaweza kuvuta pumzi kishikizo kikachomoka kwa kasi na kumpasua kichwa.
Nipeko kanamba kake hata ka Pikipiki.Namjua kiasi tuu[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekata utumbo sasa hv ni size zero kabisaaaHuyo anayemfunga hicho kishikizo awe makini maana kwa sasa Wema ana tumbo kubwa. Anaweza kuvuta pumzi kishikizo kikachomoka kwa kasi na kumpasua kichwa.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kakata tena tumbo? Alishindwa kukata ujinga wake wa siku zote huyo Mamalia.
Hahaahaaaa[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kakata tena tumbo? Alishindwa kukata ujinga wake wa siku zote huyo Mamalia.
hakika mkuuHata kamaa[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16]zana mhimuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikuulize kitu hapa Inbox.
Wewe ni seleburiti?
Ukimwona hapo utasema mtu ila subiri wiki ipite utasikia karekodiwa akila mayai, karekodiwa akila ndizi.