SZIFF 2019: Wadau wachukizwa na watoto kupewa tuzo za mwigizaji bora wa kike na kiume

Hiyo Kosem Sultan inaelezea mjukuu wa Sultan Suleiman nadhani. Ni mwendelezo wa sultan inayoonyeshwa azam 2
Kuna tofauti ipi kati ya tamthilia hii 'Kosem Sultan'
na hii 'Sultan' inayorushwa Azam tv

Nimeangalia Kosem Sultan binti mrembo Anastasia anatekwa kutoka ugiriki mpk jengo la kifalme instambul kipindi hicho mtawala wa taifa ni sultan ahmed aliye apishwa na Saphia Sultan(grand queen),baadae mwishoni akaja mtawala Osman (mtoto wa Ahmed na Anastasia) yakatokea mapinduzi ya kijeshi Osman anauliwa na Mustapha (mdogo wa Ahmed/mtoto wa Halima)anakosa vigezo vya kuwa mfalme kutokana na matatizo ya akili ,

Anastasia (mother queen) anaua wasaliti wote walioshiriki kupindua nchi ikiwemo Dilhuba na mama yake yani (Halima), kisha tamthilia inaishilia ep 100 mahali Anastasia (kosem) anaelekea kumuapisha mwanae mmoja kati ya watoto 4 kuwa mtawala wa taifa.

NAOMBA: Mwenye kufahamu, je hiyo Sultan inayorushwa Azam ni mwendelezo huu au ni series nyingine, na kama ni mwendelezo zipo series ngapi za hii tamthilia matata ya kifalme (Ottoman empire) ndani ya viunga vya instambùl -TURKEY.?

Natanguliza shukrani za dhati kabisa... Asante!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi ssijui kaka hizo zote mbili siangaliii

Wale watoto wangetafutiwa kipengele chao maalum au wangepewa tu tuzo flani ya heshima. Haiwezekani watu wengi tuwe hatuwafahamu alafu eti ndio washindi...hiyo ni the poorest way ya kufunika kombe. Tuzo ni serious matter sio charity!

Watoto wanapaswa kuongozwa hata namna ya kuzungumza...huwezi kusema kwenye festival kama ile kuwa unadumisha kihehe...lugha kuu ni Kiswahili.
Au ndio mambo ya jiwe kuongea ongea lugha za makabila?[emoji53]
 
Kuna shughuli ambazo zinahitaji host ambao wanaviutani utani flani ili kutokuwachosha waliolipa viingilio vyao,host's wa hii kama hawatabadili gia hewani watawachosha viewers!
ukweli nimekuwa dissapointed sana sio nani kashinda au nani kashindwa sababu ukweli mimi sijaangalia picha zao wala sijui ubora wao ila nataka kujikita katika event kamili. Hii ni sherehe ya tuzo na ni burudani same time, sasa ukishaanza kuwaweka wanasiasa inapoteza mvuto hakukuwa na sababu naibu speaker kuwa juu ya jukwaa muda wote huo sababu mgeni wa heshima angeweza kuwa katika kitu aache entertainers wafanye kazi hiyo na baya zaidi Tido naye akawa host tena wa show ndio kabisa ikapoteza maana yote. hakukuwa na sababu ya hotuba zote zile sio sehemu yake. show 2 hours should be 100% burudani. kwa kweli nadhani pamoja na investment kubwa lakini tunapiga hatua nyuma. toa tender acha kampuni iendeshe burudani kwa ushindani lakini Tido you fail Azam, sio kila jambo wakubwa wafanye sit back and enjoy.
 
Mashabiki wa wema povu linawatoka..

Halafu mnaposema hao Watoto hawastahili hizo tuzo kwanini hizo hoja hamkuziibua kuanzia kwenye upangaji wa hizo category Na kwenye zoezi zima la upigaji kura.

Matokeo yake hoja hizo mnazileta baada ya hao wasanii wenu kupigwa chini.

NB: Tuzo sio Mali ya msanii Fulani. Kila msanii ana haki ya kushinda tuzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale watoto kabla ya jana umewafahamu lini na kazi zao vipi umeziona mara ngapi? au kazi zao zime trend vp
Mashabiki wa wema povu linawatoka..

Halafu mnaposema hao Watoto hawastahili hizo tuzo kwanini hizo hoja hamkuziibua kuanzia kwenye upangaji wa hizo category Na kwenye zoezi zima la upigaji kura.

Matokeo yake hoja hizo mnazileta baada ya hao wasanii wenu kupigwa chini.

NB: Tuzo sio Mali ya msanii Fulani. Kila msanii ana haki ya kushinda tuzo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale watoto wangetafutiwa kipengele chao maalum au wangepewa tu tuzo flani ya heshima. Haiwezekani watu wengi tuwe hatuwafahamu alafu eti ndio washindi...hiyo ni the poorest way ya kufunika kombe. Tuzo ni serious matter sio charity!

Watoto wanapaswa kuongozwa hata namna ya kuzungumza...huwezi kusema kwenye festival kama ile kuwa unadumisha kihehe...lugha kuu ni Kiswahili.
Au ndio mambo ya jiwe kuongea ongea lugha za makabila?[emoji53]
Hahaaaa!!yaani wamechemka Azam bora mwaka Jana aseeeh!!ni charity kabisaa...sio kwa upuuzi ile

Yaani Azam Jana ilikua kituko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wa wema povu linawatoka..

Halafu mnaposema hao Watoto hawastahili hizo tuzo kwanini hizo hoja hamkuziibua kuanzia kwenye upangaji wa hizo category Na kwenye zoezi zima la upigaji kura.

Matokeo yake hoja hizo mnazileta baada ya hao wasanii wenu kupigwa chini.

NB: Tuzo sio Mali ya msanii Fulani. Kila msanii ana haki ya kushinda tuzo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mashabiki wa Wema hata monalisaa hajashinda ujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale watoto wangetafutiwa kipengele chao maalum au wangepewa tu tuzo flani ya heshima. Haiwezekani watu wengi tuwe hatuwafahamu alafu eti ndio washindi...hiyo ni the poorest way ya kufunika kombe. Tuzo ni serious matter sio charity!

Watoto wanapaswa kuongozwa hata namna ya kuzungumza...huwezi kusema kwenye festival kama ile kuwa unadumisha kihehe...lugha kuu ni Kiswahili.
Au ndio mambo ya jiwe kuongea ongea lugha za makabila?[emoji53]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hauna ka clip nijionee mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom