Escaper
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 1,780
- 3,235
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hajawa mnafiki kusema wale watoto walideserve. Ukweli unamweka mtu huru.[emoji3][emoji3][emoji16]Wema anahojiwa anasema inaniumaaa kuliko manvyofikiri dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonesha na we ulitegemea Wema ashinde. Lakini umeliona povu la Johari, nimecheka sana. Monalisa nae kaangukia pua... Ni moja ya kipengele kilichokuwa na ushindani kuliko vyote, ndo maana kimetrend.Mashabiki wa wema povu linawatoka..
Halafu mnaposema hao Watoto hawastahili hizo tuzo kwanini hizo hoja hamkuziibua kuanzia kwenye upangaji wa hizo category Na kwenye zoezi zima la upigaji kura.
Matokeo yake hoja hizo mnazileta baada ya hao wasanii wenu kupigwa chini.
NB: Tuzo sio Mali ya msanii Fulani. Kila msanii ana haki ya kushinda tuzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wangekuwa hawafahamiki wasingekuwa nominate. Acheni monopolization kwenye industry kila mtu ana haki ya kushinda.Wale watoto kabla ya jana umewafahamu lini na kazi zao vipi umeziona mara ngapi? au kazi zao zime trend vp
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanakariri, Kua muigazaji bora maana yake umeigiza sinema nyingi au anaumaarufu mkubwa kiasi Gani. Ndio maana kila Mwaka wanashindanisha kupitia sinema husika, hivyo kama hivyo sinema imeonekana umemudu uhusika unaweza Kua mshindi. Hawa watoto Movie yao ni ya watoto yaani wahusika wote ila wameigiza majukumu mbalimbali ya Mke mume na mtoto. Kwa ukweli kwa nafasi zao Mwanaume kama baba na Mwanamke kama mototo wameutendea haki uhusika wao. Tasnia hii imejaa mambumbumbu wengi sana, sikuona sababu ya Gabo Kupingana na ushindi wakati alikuwepo kuanzia katika hatua za mwanzo na hakupinga uwepo wa yule motto kwa kuamini Kua yeye atakua mshindi na ndio maana alikua na nidhamu kabla, ila baada ikawa sio mstaarabu. Nampongeza sana Riama alilalamika Kua hakugombea iwaje awe ameshindwa, kuliko Huyo bongo lala.Kama wangekuwa
hawafahamiki wasingekuwa nominate. Acheni monopolization kwenye industry kila mtu ana haki ya kushinda.
Hao wanaofahamika mbona kufahamika kwao ni skendo tu. Huyo sema sepetu zaidi ya kudanga ana nini cha kwenye movie. .
Halafu nakuuliza tena kwanini hizo hoja zenu hamkuzileta baada ya zoezi la kuweka majina kwenye category kabla hata zoezi la kura kuanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Akale wapi, kwan ukiwa mjamzito ndio hufanyi kazi?Huyu ruby na tumbo lake wame mpaje show
Naomba picha au jina lakeNdo anarusha rusha hivo chura wake mbele ya ka damnasi
Kwakweli ata kama tunawaita wanaume na wanawake wa dar ila kuna vitu mnafaidi sana. Yani live macho kwa macho mnaonana na shahazadi mstapha mtu ambaye ananinyima usingizi kila siku nakaa kwenye tv ili nimuone yeye? Watu wa daa leo mmekaa naye kwenye viti kweli? Mwakani naamia dar.
Mtuwekee na tupicha basi tuwaone hao wasanii na sisi tuliopo nanjilinji tujionee
Wa mjini mnafaidi jamani
mama mjamzito anapaswa apate mda mwingi wa kupumzika, na sio kuhangaika hangaika usiku
Kama wangekuwa hawafahamiki wasingekuwa nominate. Acheni monopolization kwenye industry kila mtu ana haki ya kushinda.
Hao wanaofahamika mbona kufahamika kwao ni skendo tu. Huyo sema sepetu zaidi ya kudanga ana nini cha kwenye movie. .
Halafu nakuuliza tena kwanini hizo hoja zenu hamkuzileta baada ya zoezi la kuweka majina kwenye category kabla hata zoezi la kura kuanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjomba hiki kilichofanyika ni adabu tosha. Hata wenyewe hulalama kwamba sinema zao zimekosa mvuto pale Kanumba alipofariki. Jitihada wanazofanya kurudisha chati ya filamu zao imeshindikana na hata watazamaji wa filamu zao wamepungua sana. Wanatakiwa wajitafakari na kujirekebisha, pia mbinu wanazotumia ili kukuza na kuuza kazi zao aidha zimechusha au hazina mvuto. Mtu kama Wema, Johari au Monalisa hivi ni nani anaweza kupoteza bando lake na kuwapigia kura? Walau Gabo anafurukuta na ukumbuke wapenzi wa filamu wengi ni watoto na maisha yamewafanya watu wazima kukosa wasaa wa kuangalia filamu zinazojulikana mwisho utakuwaje na hata matukio yanajulikana kila kwa kila hatua.Azam wako sawa maana akina monalisa siku hizi kazi yao kubwa ni kutafsiri moves za kizungu kwenda kisw... Mfano hii ya sultan mpaka bongo movie wenyewe wanalalama, wema mwaka jana alishinda tuzo hii baada ya hapo a kaanza kuturekodia Instagram yeye na bwanake wakilambana nyeti zao hadi akafungiwa na basata na juzi wakamfungulia walipoona tuzo zinakalibia... JOHARI sijui kama bado ni msanii tena.... Kuna kipindi Justin beby akiwa mtoto kabisa aliwashinda wasani wakongwe akina Kanye West na Jay z akiwa mdogo watu waliongea hivi hivi, Leo hii nani anamashaka na kijana huyu kwenye music. Ngoja waje wasanii wapya tuone akina wema wametochosha kiukweli..... Movie zao za jini kuangalia kulia na kushoto ndo avuke barabara au jambazi kuvua viatu ndo aingie ndani ya nyumba..
Hata ukiwauliza watu kumi wakutajie filamu alizotoa Gabo kipindi hiki ni mashaka matupu. Zaidi tumezoea kumuona mitandaoni, kazi zake watu hawazifatiliiWatu wanakariri, Kua muigazaji bora maana yake umeigiza sinema nyingi au anaumaarufu mkubwa kiasi Gani. Ndio maana kila Mwaka wanashindanisha kupitia sinema husika, hivyo kama hivyo sinema imeonekana umemudu uhusika unaweza Kua mshindi. Hawa watoto Movie yao ni ya watoto yaani wahusika wote ila wameigiza majukumu mbalimbali ya Mke mume na mtoto. Kwa ukweli kwa nafasi zao Mwanaume kama baba na Mwanamke kama mototo wameutendea haki uhusika wao. Tasnia hii imejaa mambumbumbu wengi sana, sikuona sababu ya Gabo Kupingana na ushindi wakati alikuwepo kuanzia katika hatua za mwanzo na hakupinga uwepo wa yule motto kwa kuamini Kua yeye atakua mshindi na ndio maana alikua na nidhamu kabla, ila baada ikawa sio mstaarabu. Nampongeza sana Riama alilalamika Kua hakugombea iwaje awe ameshindwa, kuliko Huyo bongo lala.
Sasa kama hukutilia mashaka wakati wa uteuzi wa hayo majina kwanini Unatilia mashaka ushindi wao ?? Hivi unaelewa unachoongea kweli ??Ujanijibu kama nilivokuuliza , pia majina wakati wa uteuzi hakuna alietilia maanani maana hakuna alietegemea watashinda, pia watu wengi tumefuatilia tukio la mwisho ambalo n jana, process nzima toka uteuzi hata ww ukisema umefuatilia kuanzia mwanzo utakua muongo, pia jibu swali kama ulivoulizwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama hukutilia mashaka wakati wa uteuzi wa hayo majina kwanini Unatilia mashaka ushindi wao ?? Hivi unaelewa unachoongea kweli ??
Sasa unaposema hakuna alietegemea watashinda mbona mlikuwa mkipiga kura , kwanini hao mliokuwa mkitegemea watashinda si mngewapa tuzo mapema kwasababu ilijulikana watashinda.
Acheni kuishi kimazoea hao Malaya wa bongo movie hawana la maana zaidi ya scandals na ufuska.
# Kamwene
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama hukutilia mashaka wakati wa uteuzi wa hayo majina kwanini Unatilia mashaka ushindi wao ?? Hivi unaelewa unachoongea kweli ??
Sasa unaposema hakuna alietegemea watashinda mbona mlikuwa mkipiga kura , kwanini hao mliokuwa mkitegemea watashinda si mngewapa tuzo mapema kwasababu ilijulikana watashinda.
Acheni kuishi kimazoea hao Malaya wa bongo movie hawana la maana zaidi ya scandals na ufuska.
# Kamwene
Sent using Jamii Forums mobile app