SZIFF 2019: Wadau wachukizwa na watoto kupewa tuzo za mwigizaji bora wa kike na kiume

Mmmh hawa jamaa wapo local sana

Hapa ndipo unaposema kwenye miti hakuna wajenzi fammliy ya AZAM mmetuangusha kwenye hili

Ubunifu Zero.....

Chukua vijana 2 Clouds

Chukua vijana 2 WASAFI (media)

then conet-does na Team yako ya Azam media nawazi mambo yangekua kwenye Startend ukilinganisha na ubora wa power yanu kwenye kujipromort BTW...


my comments... show IPO boerd labda wa chance gaer angani.....ngoja tuone.....
 
Jamani mimi umeme sijaulewaa kabisa halafu unakata palepale wakati wa kumtangaza mshindi....Naendelea na utafiti wangu Ntajua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…