Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mmeeelewaa!!alijitahidi Dada kutoka India mpk bongo halafu ni bonge la star Kule Bollywood yeye na Dada ake Amrita Rao!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule aliyah wa benteha Dada yake anaitwa Amrita Rao miss Universe Pacific Indian Ocean 2000 na muigizaji maarufu sana kafanya muvie kama house full na Akshay Kumar
Hahahaaaa!!!Mungu anakuonaaa!!umeme wa kijikoAu wanatumia umeme wa Bando nini?
Yule aliyah wa benteha Dada yake anaitwa Amrita Rao miss Universe Pacific Indian Ocean 2000 na muigizaji maarufu sana kafanya muvie kama house full na Akshay Kumar
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasubiri avae nguo yake ya pili [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hizo maiki walizovaa hawajui kuwa tunasikia????
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa MC Pilipili..huyo ni bure kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilidhani ni mimi tu labda masikio yangu yana kiherehere...
Hivi hakuna mbongo wa kumpa tuzo wampe Prtitika Rao sijuii au hapa Africa?!!!mfyuuuu zaooo
Sent using Jamii Forums mobile app