T.I.A, hii ni sawa kweli?

T.I.A, hii ni sawa kweli?

MY LOVE

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
161
Reaction score
68
Wandugu naomba mnisaidie kulielewa hili maana akili yangu hapa imegoma kuelewa, nijuavyo mimi high learning institution huwa zinahamasisha watu kijisomea hata kama vyuo vimefungwa, sasa cha kushangaza hapa TIA chuo kweli kimefungwa na madarasa wamefunga (hilo ni sawa kwa usalama), ila hata kusomea chini ya miti wanakataza kabisa,
  • je wanahofia vibweta vitaibiwa? au miti yao itakauka?

Nahaswa hapa bongo mazingira ya kujisomea kwenye nyumba zetu za kupanga ni magumu kabisa, tulitegemea sisi ambao ni slow leaner kutumia muda huu wa likizo kujisomea ili vitu vikae kichwani but vyuoni kwenyewe tunafukuzwa sasa tuende wapi?
 
wewe unalalamika leo wakati chuo mnafungua wiki ijayo? pesa imekata unakumbuka kujisomea sasa. pole sana
 
Hikihiki chuo ambacho kinaheshima katika kila halmashauri hapa nchini. Waambie waache mapema.
 
wewe unalalamika leo wakati chuo mnafungua wiki ijayo? pesa imekata unakumbuka kujisomea sasa. pole sana

unajisomea nini? wakati chuo kimefungwa huna kwenu? wakati wa masomo unashinda unazurula sasa unataka kujifanya bundi?
 
Unasoma nini na semester imeisha. Na mbona wanaruhusu kusomea hapo, uwe na kitambulisho tu. Walinzi hawakufahamu. Hata hivyo j3 darasani
 
Kuna mwalimu wenu moja anasemaga chuo hicho kimejegwa kama mabanda ya kuku. Sijui wa Communication Skills mweupe mfupi kafanana na.....
 
likizo chuo unasoma masomo gani sasa jamani?
 
Kuna mwalimu wenu moja anasemaga chuo hicho kimejegwa kama mabanda ya kuku. Sijui wa Communication Skills mweupe mfupi kafanana na.....

ha ha haaaa! What matters elimu, majengo ni mbwembwe
 
mimi mwenyewe mwanafunzi wa t.i.a sasa wewe unasoma nini wkt semister imeisha na matokeo hayajatoka?
 
mimi mwenyewe mwanafunzi wa t.i.a sasa wewe unasoma nini wkt semister imeisha na matokeo hayajatoka? tatizo sio chuo tatizo wewe
 
Sidhani km unasoma elimu ya juu!! Yaani bado nakushanga, siamini. Dah!
 
mimi mwenyewe mwanafunzi wa t.i.a sasa wewe unasoma nini wkt semister imeisha na matokeo hayajatoka? tatizo sio chuo tatizo wewe

Du! Unasomea mtihani tu,we ni mwanafunzi wa vodafasta.
 
tukienda tunasoma masomo mengine siyo yale yaliyopita sasa je anasoma kitu gani?

licha ya hivyo, angeomba ruhusa kwa walinzi tu! Mbona kuna wanachuo wanasomea main hall
 
mimi mwenyewe mwanafunzi wa t.i.a sasa wewe unasoma nini wkt semister imeisha na matokeo hayajatoka? tatizo sio chuo tatizo wewe

acha kumlaumu t.i.a zipo nyingi kama

1.tengeneza inglishi association
2.tanga imbiashaaa anga
3.tunduru international allogaltion
4.temba institute of accounts
 
we huenda ni JOHN KISOMO, MBULULA au KILAZA; degree inasakwa kwa timing sio kukamia
 
Wandugu naomba mnisaidie kulielewa hili maana akili yangu hapa imegoma kuelewa, nijuavyo mimi high learning institution huwa zinahamasisha watu kijisomea hata kama vyuo vimefungwa, sasa cha kushangaza hapa TIA chuo kweli kimefungwa na madarasa wamefunga (hilo ni sawa kwa usalama), ila hata kusomea chini ya miti wanakataza kabisa,
  • je wanahofia vibweta vitaibiwa? au miti yao itakauka?

Nahaswa hapa bongo mazingira ya kujisomea kwenye nyumba zetu za kupanga ni magumu kabisa, tulitegemea sisi ambao ni slow leaner kutumia muda huu wa likizo kujisomea ili vitu vikae kichwani but vyuoni kwenyewe tunafukuzwa sasa tuende wapi?
YOUR LOVE;

Shukuru Mungu safari hii wamekifunga tu, mwaka 1995 walikifuta kabisa, wakaja wakakifufua tena baadaye. Cheza wewe na mkono wa dola,whether umekosea au hujakosea, ukishuka huwa unaacha alama za kutisha!
 
Back
Top Bottom