MY LOVE
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 161
- 68
Wandugu naomba mnisaidie kulielewa hili maana akili yangu hapa imegoma kuelewa, nijuavyo mimi high learning institution huwa zinahamasisha watu kijisomea hata kama vyuo vimefungwa, sasa cha kushangaza hapa TIA chuo kweli kimefungwa na madarasa wamefunga (hilo ni sawa kwa usalama), ila hata kusomea chini ya miti wanakataza kabisa,
Nahaswa hapa bongo mazingira ya kujisomea kwenye nyumba zetu za kupanga ni magumu kabisa, tulitegemea sisi ambao ni slow leaner kutumia muda huu wa likizo kujisomea ili vitu vikae kichwani but vyuoni kwenyewe tunafukuzwa sasa tuende wapi?
- je wanahofia vibweta vitaibiwa? au miti yao itakauka?