kweli papuchii kitu ingine!haya wazabuanee tu mpaka kieleweke
nitafute....
Aaaaah mzee ujue T.I nae yuko fit"japo hajitangazagi kama may mAyweather
TI anahamu ya kurest in peace tu
Floyd 'money' Mayweather kamuacha mbali T.I kipesa ,hapo bifu ni kwamba T.I kamaindi baada ya Mayweather kupiga picha na mkewe
Picha ndio ana mind je angemkuta anam kiss si yangekua mambo ya kina BIG small tena?
2pac na Big wamepotea kisa demu!!
Floyd 'money' Mayweather kamuacha mbali T.I kipesa ,hapo bifu ni kwamba T.I kamaindi baada ya Mayweather kupiga picha na mkewe
Ila TMT(siyo Hii ya kina Joti na Lulu Tanzania Movie Talent) Hii ni The Money Team Jamaa wana mipunga kinomaaa.
TMT wasijaribu vita na Tip hasa hii ya hood ndio maana kamwambia "u fight on the ring but i fight in street" mwenzie jela kama Maisha club tu haaaahaa nimemsikiliza 50cent anamwambia Floyd aache vita na uyu OG hasa ukifuatilia mapenzi yake na bunduki.
Nimeiona ile clip...50 comedy sanaa !!He just did that to draw some heat in a funny way. T.I mtata sana yule ni vile ana body ndogo.
Alafu nenda IG kwenye acc ya sipthetea yule mwehu ni mtu wa udaku kaweka video clips zote tokea source ya ugomvi waliopenda kwenye stripers club mpaka walivyozinguana..,Curtis bonge la comedian nimecheka sana anavyovunga kwa Floyd ila hii mbilinge kwa yule mtoto LA the King Tip halijaisha.