T.I amezichapa na Mayweather

T.I amezichapa na Mayweather

coming to streets,ring fighters wanabugia nyingi.no formula hakuna cha "i need a clean,fair game" junior anaweza kuyamiss haya maneno.ila wote highly flammable.......
 
Tip again...shaur yake ataishia jela tena
 
Floyd 'money' Mayweather kamuacha mbali T.I kipesa ,hapo bifu ni kwamba T.I kamaindi baada ya Mayweather kupiga picha na mkewe

Picha ndio ana mind je angemkuta anam kiss si yangekua mambo ya kina BIG small tena?
floyd-mayweather-ti-fight.png

2pac na Big wamepotea kisa demu!!
 
Rubber Band Man -More Hustles Than Hustle Man

floyd-and-TI-brawl.jpg

Rubber band man
Wild as the Taliban
9 in my right
45 in my other hand.
 
Hii kitu ya wanawake itatutoa roho. Kashimo kadogo lakini mambo yake ukicheza nayo roho huna. Hongereni akina dada na mama itunzeni idumu hiyo ndiyo ugonjwa wetu.
 
Ila TMT(siyo Hii ya kina Joti na Lulu Tanzania Movie Talent) Hii ni The Money Team Jamaa wana mipunga kinomaaa.

Usibonyeze mkuu, mayweather ana bugatti 3 manina zake yule.....wale majamaa wako level zingine aisee. Watu type zile wanakuibia mke hvi hvi unaona. LOL
 
TMT wasijaribu vita na Tip hasa hii ya hood ndio maana kamwambia "u fight on the ring but i fight in street" mwenzie jela kama Maisha club tu haaaahaa nimemsikiliza 50cent anamwambia Floyd aache vita na uyu OG hasa ukifuatilia mapenzi yake na bunduki.

Nimeiona ile clip...50 comedy sanaa !!He just did that to draw some heat in a funny way. T.I mtata sana yule ni vile ana body ndogo.
 
Nimeiona ile clip...50 comedy sanaa !!He just did that to draw some heat in a funny way. T.I mtata sana yule ni vile ana body ndogo.

Alafu nenda IG kwenye acc ya sipthetea yule mwehu ni mtu wa udaku kaweka video clips zote tokea source ya ugomvi waliopenda kwenye stripers club mpaka walivyozinguana..,Curtis bonge la comedian nimecheka sana anavyovunga kwa Floyd ila hii mbilinge kwa yule mtoto LA the King Tip halijaisha.
 
T.i hakupaswa kumzingua Floyd kwasababu tatizo ni mkewe kumshobokea Floyd japokuwa hii itakuwa Mara ya pili kwa Floyd kujihusisha na mke wa T.i, walikwisha zungumza Mara ya kwanza New York ila T.i ni street O.G wa ukweli na ngumi za kitaa anaziweza , Floyd ni pro boxer anatakiwa kukaa mbali na mke wa mtu hata Kama anamshobokea ila Sidhani Kama hiyo feud imeisha,Nafikiri ni issue ya wivu na Ego.
 
Alafu nenda IG kwenye acc ya sipthetea yule mwehu ni mtu wa udaku kaweka video clips zote tokea source ya ugomvi waliopenda kwenye stripers club mpaka walivyozinguana..,Curtis bonge la comedian nimecheka sana anavyovunga kwa Floyd ila hii mbilinge kwa yule mtoto LA the King Tip halijaisha.

Sijakuelewa hapo mkuu.
 
Back
Top Bottom