T.I amezichapa na Mayweather


Suge night ni mshenz wa tabia bro kama umefatilia ripoti ya LAPD na ile ya mke wake wa zamani suge ndo alipanga mchongo mzima wa kumuua pac na alipokua jela alimtuma mke wake akampe hela mtu kwa ajil ya kumuua big... Mke wake hakujua hela ya nn mpaka pale alipomuona yule jamaa kakamatwa kwa kumuua big ndo akaelewa mchezo
 
Eti watu wanasema suge yuko nyuma ya kifo cha pac.America kwenye swala la mobs wako vibaya.kila mtaa una don.

Bro sio rumors ni kwel kabisa hata police aliekua anafanya investgatn ya ile kesi baada ya kustaafu alisema alitaka kuongea ukwel lakin viongoz wake wa juu walimkataza kwa kuhofia vurugu na mauaji zaid na pia anadai kuna watu walikula rushwa ndefu sana ku cover story
 

Kila kitu kina mwisho......one day yote yataanikwa tu na haya mauaji yatasuluhishwa. Suge is a very feared guy. Snoop dogg alisema wazi kwenye media that suge ni rafiki wa pac na yeye suge ndio kamuua tupac ilileta noma sanaa wakawa hawaivani. We unafkiri kwann Dre amajiweka mbali kabsa na suge...eminem alitaka kuingilia hlo beef dre akamkataza akamwambia asiingilie kitu asichokijua wala kukielewa. Dre kuondoka deathrow alipoteza pesa nyingi sanaa sababu ya yule jamaa na juzi juzi 2009 walikua wana case mahakamani kuhusiana na royalties ya album yake ya the chronic. Ila ipo siku ukweli wote utafumuka tu.
 

Sasa ndio ujue how feared that guy is mpaka mtu anakatazwa kuongea ukweli kuhusu hayo mauaji kuna kitu...ndio ujue jinsi huo mtandao ulivyo mkubwa !! Wakiongea ukweli watu wengi wataenda jela na mauaji yataongezeka kwenye music industry.
 

Duhhhhhh!
 

mkuu unaongea utumbo gani? Yaan t.i ampige myweathet hlf hpa tunazungumzia ngumi siyo bunduki ....t.i ni msela mavi atauliwa na myweather asipoangalia huwez kufananisha mtu anayeshinda gym na mtu anayeshinda studio
 
mkuu unaongea utumbo gani? Yaan t.i ampige myweathet hlf hpa tunazungumzia ngumi siyo bunduki ....t.i ni msela mavi atauliwa na myweather asipoangalia huwez kufananisha mtu anayeshinda gym na mtu anayeshinda studio

Huu unakuwa ugomvi wa crew ya may na ya TI...kuhusu kusema may atamuua gangster hilo halina jibu mpaka wakutane.unahisi Ti kalegea? Hilo ni part ya maisha yake.then hili sio pambano la ulingoni hakuna refa wakusema t usipige hapa.it's a dirty fight.dirty fights zinavingi na uzoefu unahitajika kwenye hilo.TI can flash out the money,usipimie
 
mkuu unaongea utumbo gani? Yaan t.i ampige myweathet hlf hpa tunazungumzia ngumi siyo bunduki ....t.i ni msela mavi atauliwa na myweather asipoangalia huwez kufananisha mtu anayeshinda gym na mtu anayeshinda studio

Komeka mchezo wa mtaani hauna sheria labda jaribu fatilia maisha ya hawa watu wawil utaelewa kwa nn nakuambia t.i kwa mtaani sio mtu mzuri floyd hamuwez asilimia mia.. Unafikil why 50 cent kamwambia mayweather aachane na bifu na T.I coz sio mtu mzuri..!!? Kama unamaanisha ulingon sawa lakin huku uraiani bro clifford harris sio mtu wa kuwekeana nae bifu
 

Nikusahihishe mkuu label ya Easy E a.k.a King of Compton ilikua inaitwa Ruthless Record na NWA(N.ig.g.a.z With Atitude) ni group member yao walikuwa Easy E km kiongozi, Dr Dre, Dj Yella, Ice Cube na mmoja jina lake limenitoka!
 

tatizo lako we jamaa uko in love na t.i hta hualisia huuoni t.i ampige myweather ? ?? Ur not serious hta km ni street fight t.i hatoweza huo usela mavi wa mtaa akiuleta kwa myeesther ataumia ....mywesther muda mwingi anautumia skiws gym coz ye ni boxer so linapokuja suala la nani Yuko fit t.i ataachwa mbali sana na hilo ndyo litakaloamua nani mbabe
 
Ni km umuweke 50 cent na Tyson kipindi kile yupo kwny peak kwa vyovyote 50 lazima aumie na ishu siyo nani mbabe mtaani ishu ni nani yupo fit period!!!
 
tell em son!......man to man T.I hawezi kusimama na Mayweather na hizo ngoma za kutegemea gang za kitaa anazotaka kuleta T.I ni umama!..wanaume husimama one against one
 
Nikusahihishe mkuu label ya Easy E a.k.a King of Compton ilikua inaitwa Ruthless Record na NWA(N.ig.g.a.z With Atitude) ni group member yao walikuwa Easy E km kiongozi, Dr Dre, Dj Yella, Ice Cube na mmoja jina lake limenitoka!

Yap yap kweli kabisa....nilikosea kuandika. NWA was the group, Ruthless Records was tha label.
 

Sikubaliani na wewe... mayweather boxing ni kazi yake na ndio inamuweka mjini hana ubabe wowote its obvious T.I hamuwezi mayweather kwa ngumi ulingoni but when it comes to street smart mayweather lazma anakalishwa chini anakua mpole. Its like comparing mchaga tajiri aliyeishia darasa la saba na professor wa chuo kikuu mwenye akili nyingi darasani but still huyo professor ana mafanikio ya kifedha pia but hana street intelligence. Making it big from the streets needs high levels of intelligence, people hardly make it and end up dying. Living and making it big from the ghetto streets of America or anywhere is no joke mkuu. We humuoni 50 Cent alivyo, utam compare 50 na Ja Rule au Rick Ross ?? Mtaani kuna ushenzi wa kila aina, its very dangerous and very tuff to make it BIG from the deadly streets of any city in the world. Google " The Supreme Team " usome wikipedia na kuona documentaries zake uone ni jinsi gani ilivyo ngumu kutoka ki maisha kwenye hzi ghetto streets of america especially if u are a school drop out. Its either ur dead, in prison or very rich to survive in there. Mayweather bado atangoja sanaa ingawa he is rich and successful. 50 anamkubali T.I cz anajua fika timbwili la mtaani ni la namna gani akamwambia mayweather akae mbali na jamaa.
 
tell em son!......man to man T.I hawezi kusimama na Mayweather na hizo ngoma za kutegemea gang za kitaa anazotaka kuleta T.I ni umama!..wanaume husimama one against one

umeona we mkuu ivo vyuma anavyopiga t.i kwa ajili kuweka body liwe la mauzo mwenzake anapiga ili aumize wstu ulingoni ni km umchikue mhuni Fulani pale manzese anaepiga wszembe hlf ukampiganishe na cheka....akamuulize suge knight alivyopigwa knock out na beans mdogo mmoja pamoha na ubabe wake ws kitaa
 

U can't be serious mkuu unaleta utani mbele ya masihara ,mywesther ngumi professional yake so Yuko training kila siku technically ngumi unazosema wewe za mtaa km hauko fit lazima ule mchanga tu t.i kila cku analewa ,anagegeda ,anakesha klabu sometimes anakesha studio bado na bangi anavuta kwa lifestyle hyo huo uwezo wa kumchapa myweather ataupatia wapi
 

Hujaelewa comment yangu hebu isome tena kwa umakini. Nimesema T.I hamwezi mayweather kwa ngumi hilo liko wazi...but when it comes to street smart/intelligence mayweather lazma ataumia tu. Mayweather is just a professional boxer he z doing his job as a professional boxer, but he z no gangstar/street smart kama T.I.
 

chief street fight sio ngumi za mtu mmoja sio ngumi za kusema tunaanza kupigana street fight zinajumuisha kurushiana njugu na uhuni mwengine unaofanana na huo, ndio maana wadau wengi wanakwambia TI kwenye hizi street fight ni nyoko
 

uliangalia pambano la cheka na japhet kaseba? cheka alitawala pambano coz ilikuwa ni boxing match.wakikutana kwenye kick boxing nina uhakika cheka ana round mbili tu ulingoni.TI mtaani ndo kwenye ring yake.Floyd anakuwa trained kukwepa ngumi ya Bradley sio ngumi za amateur street fighter.ni ngumu kwa Floyd kutumia uwezo wake kumpiga TI.kwenye boxing hata kichwa hakirushwi.hivi ni vitu tofauti ndio maana mcheza Brazilian jiu jiutsu hawezi kupanda na boxer ulingoni.
 
chief street fight sio ngumi za mtu mmoja sio ngumi za kusema tunaanza kupigana street fight zinajumuisha kurushiana njugu na uhuni mwengine unaofanana na huo, ndio maana wadau wengi wanakwambia TI kwenye hizi street fight ni nyoko

hizo assumptions tu mkuu!tutajie hata mtu mmoja ambaye T.I kamkalisha kimtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…