Yote tisa kuna lile njemba la west coast linaitwa Marion " Suge " Knight lile jamaa ndio halifai kabsa... He is the most feared man in the record industry huko states upto date. Wana muziki na music executives wengi wa hip hop states wanamuogopa snaa sio mtu wa kuzoeana nae...ukimzingua anakupoteza mazima. Ana mtandao na makundi ya hatari ya ujambazi huko LA, Carlifornia. Sema ni vile siku hzi amesanda....kipindi cha kina Tupac na Biggie Small jamaa alikua anatetemesha mbayaa alisha mning' iniza mtu juu ya ghorofa ndefu akitishia kumtupa endapo hato toa pesa flan kwa wasanii wake. Pia alimsaidia Dr. Dre kuachana na label ya NWA ya Eazy E kwa kumfuata Eazy E na majambazi wenye marungu na mapanga office kwake akitishia kumuaa yeye, familia yake yote na wazazi wake endapo hato sign mkataba wa kum release Dr. Dre from NWA. Jamaa aka sign mkataba bila shurti. Bongo hapa bado sijaona gangsta yeyote kwenye tasnia ya muziki walio pinda kwa viwango vile. Sijawahi sikia mwana muziki yeyote states akim diss Suge Knight kwenye nyimbo zao, wanamjua fika yule ni mtu wa aina gani and what he's capable of doing. Ukiskia watu kule wamepinda ujue wamepinda kweli kweli kukupoteza ni nje nje.
Suge night ni mshenz wa tabia bro kama umefatilia ripoti ya LAPD na ile ya mke wake wa zamani suge ndo alipanga mchongo mzima wa kumuua pac na alipokua jela alimtuma mke wake akampe hela mtu kwa ajil ya kumuua big... Mke wake hakujua hela ya nn mpaka pale alipomuona yule jamaa kakamatwa kwa kumuua big ndo akaelewa mchezo