Sasa we Moron mbona me sijaona kitu hapo yani unasifiaaaa mpaka kero.
unajishaua tu.
Kwani kosa la Ray C ni lipi hasa?...hatukatai kwamba tid ni mgonjwa, ila kwa hili ray c katokota, angeweza mtafuta privately waongee faragha. Sidhani kama yange mkuta haya.
Tid anapost ishu kwa fan wake, afu mrugaruga anaingilia topic.
Hata mimi ningempa makavu.
Ray c aache tafuta sifa za kijinga.
.......
.,period.
Kwani kosa la Ray C ni lipi hasa??hv ray angemtafta kwa siri tid angemtukana?kwa nini amtafte kwny public ujue msimlaumu tid ila sometimes inakera..haya sporah nae maswali aliuokuwa anamuuliza yale..?nyi mlitaka amjibu vp...?dawa ya mshenzi unakua mshenzi zaidi yake baaaas....."unavuta bangi"ndo ailmuuliza hvyo!safi tid kama kalambwandaaaa...
Binafsi sijaona privacy yoyote hapo....Kumwambia mtu 'we need to talk' ni privacy?.....kuleta issue za privacy,, mahala pasi sahihi
Binafsi sijaona privacy yoyote hapo....Kumwambia mtu 'we need to talk' ni privacy?.....
Mbona Ray C hakuandika lolote kuhusu drugs zaidi ya kumsifia TID na kumuomba waonane waongee?....Au unahisi alitaka washirikiane kuhusu drugs?alitaka washirikiane kwenye ant drugs