T.I.D akinukisha kwa RAY C @instagram

T.I.D akinukisha kwa RAY C @instagram

hakika mashabiki wanaponza
Siku zote Mtu aliyejamba mbele za watu huwa anajishtukia! Yan maneno yapo clear kabisa, angeuliza tuongee kuhusu nini akijibiwa kuhusu kuacha madawa ndipo angeanza kujitukanisha, kwan ni nan asiyejua kuwa Tid kishadata? Halafu mashabiki ndio wanaochangia kuharibika kwa wasanii! Subiri yalimkuta ya Ngwea mashabiki zake waendelee kumsifia tusiowane hapa wakitumia "nge" "nga'' ''ngali'' na ''ngeli''[/Quote
 
Kama akili zako ziko sawa utagundua hawa hawajaanza kwenye ishu ya IG angalia Mnyama anavyosema "help ur boyfriend" na kwa nini all over sudden aseme "f**k off" ujue kafatwa muda mrefu angalia sentensi za TID utagundua kachoka kufuatilia na Ray C awezi kumjibu maneno yote kwa kusifiwa na kuambiwa "let's talk" kuweni werevu basi uyo binti toka apone anamvamia kila mtu arudishe jina hapo kwa Warioba atacheza makofi.
Over najua umenielewa kama bado utanielewa tu.

GREAT THINKING,, tuwaache vichwa maji kama na hapa hawataelewa.
 
TID mirembe panamuita. ana kila dalili ya kuchizika
 
DSCN9968.JPG
 
Anaposema help your boyfriend anamaanisha akamsaidie Lord Eyez au sio?!
Btw,Wote wawili wana makosa.
 
madawa hatari sana tid wenzie wanataka kumuokoa kama walivyookolewa wao yeye analeta mitusi tu, ila ray c awasaidie wote (tid na eyez) pia asiende public
 
Safi sana TID huyo bidada inabid aingie darasani kujifunza mambo ya ushauri nasaha yanavyofanyika sio anakurupuka tu anataka muongee kwa nini asimpigie simu au aka fuata uso kwa uso au ndio anataka aonekane anasaidia watu mateja wapo kibao dsm aende akawape ushauri nasaha sio kutaka sifa kwa mpenda masifa TID
 
Huuu ndo unaitwaga ushabikii mandazii...mnashabikia mtu kutukana?? badala ya kusikitika?? Mie sio shabikii wa rayc wala tid...but TID anaboa ajirekebishe iko siku atachezea vitasa!!
 
Ray c alikua anatafuta sifaa kaipataa aisee binam ukimuona TID mnunulie hata peps kanifurahisha asubuhi hiii mchiz kwa Majibu kiboko Nampa miaa
Sasa we Moron mbona me sijaona kitu hapo yani unasifiaaaa mpaka kero.
unajishaua tu.
 
Stress ni ugonjwa mbaya sana plus poda..
 

Attachments

  • 1404443057628.jpg
    1404443057628.jpg
    131.2 KB · Views: 150
Back
Top Bottom