Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Lol what a scene....!!!
Unaona jinsi mzungu anavyo mshangaa teja alivyokwisha? Cha kushangaza anaombwa asaidiwe yeye anaona kero kwanini aache kubwia unga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol what a scene....!!!
Ila ray c kapata fedheha kama sio aibu ya mwaka, mwenyew alikuwa anamsifia mnyama mwenyewe na collabo kamwomba , dada watu kaambulia vichambo vya haja, hata mimi sikubaliana na tid apa ajafanya poa
Jaman mwenzenu alikuwa anaomba collabo na mnyama
kwa wenye akili timamu na kwa wastaarabu aliyeaibika ni TID. katika hali ya kawaida hatutarajii jibu bovu kwa ujumbe wa upendo na wa amani... ukijibu vinginevyo lazima utakuwa kichaa tu.
umesikika binti
ray c kakosea. Anastahili alichopata.
Yaani mimi hayo matusi aliyotukana sikuweza kusoma mara mbili maana nasikia aibu mwenyewe, sijui alimkosea nini dada wa watu kumdhalilisha hivyo
Usinishobokee achana na mimi wewe
Kosa la Rayc ni lipi??
Kumbe kumpongeza mtu napo inabidi umfuate private?khee!basi mie nmepitwa na wakati!
acha kujitoa uelewa,,,
Anatafuta bwana huyoo mmege tu tena bure
Mwezi mtukufu huu,tena una hijabu.