Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Daah ila kachambwa aiseee mpk nimesikia aibu lol
Mchiz hua hakopeshii nikikumbuka ya sporah show hua nachokaaaa anajua kupangilia kujibuu aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah ila kachambwa aiseee mpk nimesikia aibu lol
Ray c alikua anatafuta sifaa kaipataa aisee binam ukimuona TID mnunulie hata peps kanifurahisha asubuhi hiii mchiz kwa Majibu kiboko Nampa miaa
Alikua anatafuta atention TID habakizagiiii wala hakopeshiii
Hahaha hiyo sentesi ya mwisho naona kaamua kumtolea hadi ya moyoni.... i hv nvr liked yhu daah.
mi sijaelewa au ina maana hiyo sentesi ya Ray C ndio imafanya
huyo mnyama kuporomosha matusi yote hayo...........
Ni hivi mpenzi,Tid aka mzee Warioba alikuwa anatambulisha wimbo wake mpya Asha refix...Ndio akaibuka Rayc na iyo comment yake,nadhani mzee Warioba alihisi Rayc anataka kumchanganyia story za sober house na methadone cjui uko ndio akamwaga desperation yake hapo.
ni wazi pasi shaka t.i.d ni mgonjwa kabisa hasa kichwa.
Tangu nimeanza kufatilia interview zake na maandishi yake kwenye media ni wazi hana miaka minne anakuwa kichaa.
Siku nilipoona interview yake na sporah ndipo nilipo amini anaumwa kabisa na ana hitaji msaada kabla mambo hayaja haribika kabisa. Mtu akiangalia maneno aliyo yaandika rayc na majibu ya t.i.d atagundua huyu jamaa ni mgonjwa kabisa na hana muda mrefu mtaani. Pengine rayc hakutumia njia nzuri kuomba alicho taka lakini hakustahili haya matusi kwa mtu tunaye fikiri anaweza akawa na akili timamu.
Wasanii wetu wengi ni wagonjwa na magonjwa yao yanachagizwa na mashabiki wao, yani ukijiuliza kinacho wafanya washabikie hayo matusi yanayo tolewa kwa rayc wanaweza wakakosa jibu na wakasema kuwa ni kwasababu hawampendi rayc.
T.i.d na jumanature ni wasanii ambao wana hitaji msaada wa haraka kabla hawajawa vichaa na mkaanza kusikitika na hawa mashabiki kama wange mkemea t.i.d kwa hichi kitendo nina uhakika ingemsaidia kupona.
T.i.d ni mgonjwa anaye hitaji msaada.
Mi napenda majibu yakeee tu kwa michambo hajamboo uliisikiaga ile anamjibu sporah weee TID ana majibuu ya ukweliii
Acha kushabikia upuuzi, midem mingine bana
I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
hatukatai kwamba tid ni mgonjwa, ila kwa hili ray c katokota, angeweza mtafuta privately waongee faragha. Sidhani kama yange mkuta haya.
Tid anapost ishu kwa fan wake, afu mrugaruga anaingilia topic.
Hata mimi ningempa makavu.
Ray c aache tafuta sifa za kijinga.
.......
.,period.
I tought he was in his late 60's, kumbe bado ni yanki?View attachment 168119