T.I.D akinukisha kwa RAY C @instagram

T.I.D akinukisha kwa RAY C @instagram

Hahaha TID Mnyama zile level nyingine za mateja si wakukurupuka kwenye media teh nakumbuka interview yake na sporah show...

Kama vp Ray c angemtafuta private na sio kutafuta insta... TID ana maneno machafu sana na dharau alisha zinguana na kutaka kumpiga Salama kwa kujifanya ujuaji...
 
Arosto ya unga unaweza kuwa Choko hivi hivi,,mambo gani mtu unanyatia hadi nguo zako mwenyewe ulizoanika!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

Hahahaa hii kali unaweza kuta unajiibia simu yako mwenyewe lol
 
nilisomaga thread kuwa RAY C aliingizwa kwenye madawa na TID! dah kazi kwel kwel
#mla nyasi na mla poda yupi mnyama?#
 
Mi napenda majibu yakeee tu kwa michambo hajamboo uliisikiaga ile anamjibu sporah weee TID ana majibuu ya ukweliii

Alafu anadharau sana huyu jamaa na anajiskia na kujibubali sana.. na majibu yake ya mkato...

Yani huyu angeenda kule BBA angevunja rekodi ya Lotus na Nando.
 
maskini TID...rayc ana nia nzuri ila kumtafuta kwenye IG ndo kosa lake lilipoanzia
 
maskini TID...rayc ana nia nzuri ila kumtafuta kwenye IG ndo kosa lake lilipoanzia

Mmh mwenzangu ray c kamsifia mwenyewe apate collabo matokeo yake kachambwa mmh aibu hii sijui ataipeleka wapi
 
Arosto ya unga unaweza kuwa Choko hivi hivi,,mambo gani mtu unanyatia hadi nguo zako mwenyewe ulizoanika!

Haahahaha eti unanyatia hadi nguo zako ulizoanika. Sembe ni nomaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
TID kavurugwa sio bure. Majibu gani hayo yasiyo na stara, watu wa hivi ndo Mungu huwashusha na kuwapandisha wanyonge.
 
Ye angemtafuta huko sio kwenye ma inst yao,si angempigia tuu hata simu, kujionyeshaa kumemponzaaaa

Yeye si katafuta sifa kwan hawezi kusaidia kimyakimya matokeo yenyewe hayo kayapata hivi anamjua tid au anamsikia.
 
Kamuwezaaa yaan nimecheka kweliiii hapa nilipo ungeniona binamu balaaaa

Wewe hujacheka binamu, mimi nimecheka had ute ukatoka kwa babu, yani TID huyu mwenzie kamsifia mwenyew ye anampa vichambo halafu hajambakisha hata kidogo mweeh, ila wamekutana wote akili za bhang
 
Wewe hujacheka binamu, mimi nimecheka had ute ukatoka kwa babu, yani TID huyu mwenzie kamsifia mwenyew ye anampa vichambo halafu hajambakisha hata kidogo mweeh, ila wamekutana wote akili za bhang

Ray c alikua anatafuta sifaa kaipataa aisee binam ukimuona TID mnunulie hata peps kanifurahisha asubuhi hiii mchiz kwa Majibu kiboko Nampa miaa
 
Yeye si katafuta sifa kwan hawezi kusaidia kimyakimya matokeo yenyewe hayo kayapata hivi anamjua tid au anamsikia.

Alikua anatafuta atention TID habakizagiiii wala hakopeshiii
 
Back
Top Bottom