Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana yake maana huwa kuna posho kwenye majaribio ya uokoajiKama kikosi cha uokoaji kimewahi basi ni majaribio!!
....Wadau na nyie mmeona. Kuna ndege imeanguka ziwa Victoria.
===
Ndege Ndogo ya Abiria imeanguka na kuzama Ziwa Victoria. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wamefika eneo la tukio na kutoa msaada kwa abiria walikuwamo kwenye ndege hiyo.
Waache ujinga basi .wataharuki watuWako kwenye utayari...[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2527411