Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Uongo,huu ni uongoWenzako wanatafuta anayepumua tu hayo mengine hawaangalii.
Ukifika 30+ utaelewa vizuri huu ujumbe.
HupitwiUtatusamehe tu kwakweli hatuwezi kuona uzi wa mahusiano tusiuchangie.
Sasa kwa huyu ni changamoto ya wazi kama hadi kazi alikuwa anapata then analeta uzembe huyu ni tatizo. Kama ulikuwa hadi unalipia ada za wadogo zake na kodi sasa yeye alikuwa ni nani kwako?
Anyways,usichukie wanaume sababu ya m'moja aliyekuvuruga kumbuka wewe ndie ulimchagua sisi hatukuwepo katika kutongozana kwenu.
DOuble chanceUkipata responsible man, mtu mwenye kupenda awe na functional family, kufa na kuzikana, uko tayari kuwa mke tena?
Kama uko tayari niambie nije pm.
Wanaume hawana hizo kasumba. Tatizo lipo kwa wanawake.Kuna zile story za kwamba unatoka na mtu chini hamna kitu yaan sijui nikikuambia chini unaelewa? Halafu tunakuja kukaa vizur kiuchumi anakuona wewe so kitu ni story ndefu ila mungu anajibu maombi nilipata hasira mnooo nikawa naomba mungu huyu mtu muadhibu Kwa namna yoyote
Mungu yupo nyie mungu yupo na anajibu yule mtu karud alipotoka ameanza moja Tena Kwa kipigo takatifu Allhamdullilah 🤲
Mkuu huyu ni wife material...DOuble chance
Pita nae kakaMkuu huyu ni wife material...
Kumbee eeh nilikua niko na shetan face to faceWanaume hawana hizo kasumba. Tatizo lipo kwa wanawake.
Huyo hakuwa mwanaume bado.Kumbee eeh nilikua niko na shetan face to face
Guess what? Anakuja kuniomba mim msaada amejisahaulisha anajitoa ufaham na mim narudisha faham zake Kwa kumkumbusha na kumtimua[emoji51]
Wifi wahi nataka kucheka hapa 😹Mm nilikuwa mbishi my dear ngoja nipike kwanza nakuja nisimulie huku nalia nikiwa nimeshiba 😂😂