Taa nyekundu ikikuwakia, simama, kuendelea na safari ni kujitakia kifo

Mimi bhana ni story ndefu ila ni bonge la mwanaume, nikimfikiria nabaki nalia sana.!! 😭

Naweza kusema Mungu alinionyesha mwanaume ninayetakiwa kuwa naye ila kwa kunidolishia…. Unajua ile unapata kazi nzuri ina marupurupu ya kutosha na mshahara mkubwa bado dili za nje km zote?? Basi ndo nilikuwa mimi sasa..!! Niliokota dodo chini ya mnazi..!

Mpaka leo namlaani Mungu, ndiomana kuna muda siamini km yupo..!
Tuishie hapa nikiendelea kuna watu wanaojua kisa changu watanijua..!! 🥹
Best mimi nimeweka kitako hapa kwenye comments yako ilikuwaje🤸🏿‍♀️
 
Ndiyo maana hawa mabinti wa siku hizi wanataka hela mbele, washachoka na wengine waliona mama na dada zao walivyoteseka.

Nimefurahi kusikia huyo kimeo alishushwa chini na akaanza kukurudia kukuomba msaada. I hope ulimkandamiza vizuri kwenye kidonda asikie maumivu ya kutosha 😆😅
Mmmmh
 
Ndugu zake wananiambia nimemroga ndugu Yao😀 nikawambia mganga wangu ni mungu na amempa alichostahiil😬
 
Mimi bhana ni story ndefu ila ni bonge la mwanaume, nikimfikiria nabaki nalia sana.!! 😭

Naweza kusema Mungu alinionyesha mwanaume ninayetakiwa kuwa naye ila kwa kunidolishia…. Unajua ile unapata kazi nzuri ina marupurupu ya kutosha na mshahara mkubwa bado dili za nje km zote?? Basi ndo nilikuwa mimi sasa..!! Niliokota dodo chini ya mnazi..!

Mpaka leo namlaani Mungu, ndiomana kuna muda siamini km yupo..!
Tuishie hapa nikiendelea kuna watu wanaojua kisa changu watanijua..!! 🥹
Pole my Wii
 
Umen
Kuna zile story za kwamba unatoka na mtu chini hamna kitu yaan sijui nikikuambia chini unaelewa? Halafu tunakuja kukaa vizur kiuchumi anakuona wewe so kitu ni story ndefu ila mungu anajibu maombi nilipata hasira mnooo nikawa naomba mungu huyu mtu muadhibu Kwa namna yoyote
Mungu yupo nyie mungu yupo na anajibu yule mtu karud alipotoka ameanza moja Tena Kwa kipigo takatifu Allhamdullilah 🤲
Pole mamii
 
Hakuna Mungu wa hivyo huyo ni shetwani ndio husikiliza maombi mabaya, hivi unamuombeaje mtu mabaya na ulimpenda? Huo ndio upendo?
 
Mimi bhana ni story ndefu ila ni bonge la mwanaume, nikimfikiria nabaki nalia sana.!! 😭

Naweza kusema Mungu alinionyesha mwanaume ninayetakiwa kuwa naye ila kwa kunidolishia…. Unajua ile unapata kazi nzuri ina marupurupu ya kutosha na mshahara mkubwa bado dili za nje km zote?? Basi ndo nilikuwa mimi sasa..!! Niliokota dodo chini ya mnazi..!

Mpaka leo namlaani Mungu, ndiomana kuna muda siamini km yupo..!
Tuishie hapa nikiendelea kuna watu wanaojua kisa changu watanijua..!! 🥹
Watu mna mlaani hadi Mungu 😐😂
 
Kuna zile story za kwamba unatoka na mtu chini hamna kitu yaan sijui nikikuambia chini unaelewa? Halafu tunakuja kukaa vizur kiuchumi anakuona wewe so kitu ni story ndefu ila mungu anajibu maombi nilipata hasira mnooo nikawa naomba mungu huyu mtu muadhibu Kwa namna yoyote
Mungu yupo nyie mungu yupo na anajibu yule mtu karud alipotoka ameanza moja Tena Kwa kipigo takatifu Allhamdullilah 🤲
Karma is real. Ulifanya vyema kutokulipa kisasi ila ukamuacha Mungu mwenyewe alipe, Mungu akilipa huwa anamnyoosha mtu ipasavyo.
 
Njooni huku; naona kwenye ule uzi mwingine tumevamiwa na jinsia ya upande wa pili, ngoja tuwaachie.

Mahusiano ni kuvumiliana na kuchukuliana madhaifu yetu, ila kuna wakati unasema hapana, siwezi kuendelea.
Ladies, nini kilikutokea kwenye mahusiano kikafanya red light iwake kichwani na umuache mpenzi / mwenza / mume wako?

*Naanza: *

Mwanaume alikua mvivu, hajishughulishi, akili mgando na mlalamishi.
Kila akipata ajira hadumu anafukuzwa kwa sababu ya kutokujituma na malalamiko yasiyoisha (Ajira 3 tofauti in 2 years). Nilikua nalipa ada za wadogo zake, kodi nyumbani na majukumu mengine yote. Japo alikua na mema yake ila baada ya miaka miwili nilichoka na nikaona hakuna future. Niliomba uhamisho kazini kwenda mji mwingine, nilivyofika tu makao mapya, nikampiga kibuti.

── ⋆⋅☆⋅⋆ ──

CC:
nakwede97Aaliyyah
Sister AbigailBantu Lady
realMamyQashy Lilith
Atoto
Niwaheri
Lamomy
To yeye
Msweet
Chujio
Demi
ledada
Midekoo
Carleen
ABJ

Waiteni na wengine!
Jama i mbona mie sipata wanawake wa namna hii wakulipia ada hadi wadogo zangu?

Yaa i wewe mie ningekufulia hadi chupi zako
 
Utatusamehe tu kwakweli hatuwezi kuona uzi wa mahusiano tusiuchangie.

Sasa kwa huyu ni changamoto ya wazi kama hadi kazi alikuwa anapata then analeta uzembe huyu ni tatizo. Kama ulikuwa hadi unalipia ada za wadogo zake na kodi sasa yeye alikuwa ni nani kwako?

Anyways,usichukie wanaume sababu ya m'moja aliyekuvuruga kumbuka wewe ndie ulimchagua sisi hatukuwepo katika kutongozana kwenu.
Itakiwa jamaa alikuwa sio mvivu kitandani ndio maana bidada miaka miwili yupo tuu
 
1000285438.jpg
 
Back
Top Bottom