Taa nyekundu ikikuwakia, simama, kuendelea na safari ni kujitakia kifo

Taa nyekundu ikikuwakia, simama, kuendelea na safari ni kujitakia kifo

Lamomy
Tulivoachana nikaenda chuo nae akaenda jeshini nilivomaliza nikirud home nikawa nafanya kazi sehemu sikuwa na mpango nae story zake nilipata sababu Kuna nduguzake nawafahamu
Sikumoja kukawa na shereh ya kipaimara yule mama alikuwa anawafanyia wanae shereh ukumbini night nikalipiwa kadi na boss sikuwa na kampani nae alikuwa haendi akaomba mm niskose anipe na zawadi yake nikamuwakilishe

Kuna kijana mmoja pale mtaani best yangu pia ana pikipiki akasema kuwa anaenda nikaomba kampani pia nikawa nimepata wa kurudi nae kwani ni mwendo kidogo toka home

Saa 2 tukaenda kulikuwa na watu wengi nikamkuta ankowangu na auntyangu pia wapo kwenye sherehe kwakuwa situmii pombe nikachukua biazangu nikawapa mm nikatulia kuangalia sherehe inavoenda baada ya sherhe waliandaa burudani mziki had asubhi kipindi kile Ilikuwa wanruhus had kufikia saa 4bwatoto wakaondolewa wakubwa wakabaki kucheza n kunywa nikaona sura km naijua nikapotezea akasogea kumbe yeye akanisalimia nikaitikia nikajifany naenda chooni akaondoka 😃 😃 😃 😃
Mkaenda kulala wote baada ya sherehe, mkapasha kiporo 😜
Wifi hakuna kuchana page wote watu wazima hapa..!! 😹
 
Utatusamehe tu kwakweli hatuwezi kuona uzi wa mahusiano tusiuchangie.

Sasa kwa huyu ni changamoto ya wazi kama hadi kazi alikuwa anapata then analeta uzembe huyu ni tatizo. Kama ulikuwa hadi unalipia ada za wadogo zake na kodi sasa yeye alikuwa ni nani kwako?

Anyways,usichukie wanaume sababu ya m'moja aliyekuvuruga kumbuka wewe ndie ulimchagua sisi hatukuwepo katika kutongozana kwenu.
Hizi akili siku nyingine huwa unaziweka wapi kwanini huwa hamuongelei ujinga wa wanaume wenzenu kama hao, sisi tukiwasema wanaume kama hao huwa mnatutukana na kujifanya wanasaikolojia uchwara, kwamba ina maana huwa hamjui kuwa kuna wanaume magalasa kama ambavyo kuna wanawake magalasa..anyway taratibu tu mtatuelewa!!
 
DWA

Damaged Women Association

Dada zangu humu mmepigwa na matukioo, wengine ndo mana mna hasira kama mbogo! dah sio poa. Mwanamke mpaka ana type paragraph ndeefu ya mapitio! mana jamaa bado ana chance ya kusuuza rungu.
 
.
Kila akipata ajira hadumu anafukuzwa kwa sababu ya kutokujituma na malalamiko yasiyoisha (Ajira 3 tofauti in 2 years). Nilikua nalipa ada za wadogo zake, kodi nyumbani na majukumu mengine yote. Japo alikua na mema yake ila baada ya miaka miwili nilichoka na nikaona hakuna future. Niliomba uhamisho kazini kwenda mji mwingine, nilivyofika tu makao mapya, nikampiga kibuti.
Acha uwongo,hakuna dunia hii mwanamke baada ya yote uliyoorodhesha hapo kukufanyiwa na huyo uliyemuita mumeo atafanya ulichodai kukifanya hapa.

Ulipie mashemeji zako ada?nani,mwanamke huyu huyu tunayemjua ambae kuna wakati hata kuwasaidia ndugu zake wa damu?
 
Acha uwongo,hakuna dunia hii mwanamke baada ya yote uliyoorodhesha hapo kukufanyiwa na huyo uliyemuita mumeo atafanya ulichodai kukifanya hapa.

Ulipie mashemeji zako ada?nani,mwanamke huyu huyu tunayemjua ambae kuna wakati hata kuwasaidia ndugu zake wa damu?
Basi sawa, nitakubishiaje wewe mjuzi wa wanawake wote duniani
 
Basi sawa, nitakubishiaje wewe mjuzi wa wanawake wote duniani
Siyo basi sawa pinga kwa hoja,kwanini unakuwa mwongo kwa vitu vilivyokaa uchi kama hivyo?wewe unadhani yupo mwanamke anaweza kumlipia ada shemeji yake?

Tena wewe umeongeza kusema “wadogo zake” means walikuwa zaidi ya mmoja.
 
Siyo basi sawa pinga kwa hoja,kwanini unakuwa mwongo kwa vitu vilivyokaa uchi kama hivyo?wewe unadhani yupo mwanamke anaweza kumlipia ada shemeji yake?

Tena wewe umeongeza kusema “wadogo zake” means walikuwa zaidi ya mmoja.
Humu JF kuna maajabu, sasa wewe unabishia maisha yangu kwa kuniambia namna ambavyo haiwezekani bila kujua hata niliishije na hao shemeji zangu.

Kama kwako haiwezekani, haimaanishi kwa wengine pia ni hivyo hivyo.
Tunapatana na hawa shemeji zangu mpaka leo, mmoja nilimpa connection ya kazi after chuo na alikuja kwenye harusi yangu wakati naolewa na mwanaume mwingine.

Mahusiano kuisha si vita na kutoa ni moyo wa mtu, hakuna formula.
 
Back
Top Bottom