TAA YA SOLAR YENYE CCTV CAMERA(SOLAR STREET LIGHT WITH CCTV)-0746373222.

Joined
Apr 29, 2016
Posts
49
Reaction score
68
Taa hii inatumika nje Yani ndani ya fensi ya Nyumba,nje ya Nyumba au barabarani.

Taa hii inatumia mionzi ya jua ili kujipatia chaji na pia kuchani battery za CCTV camera.
Taa hii inafanya KAZI mbili,kutoa mwanga na pia kurekodi video na sauti.
CCTV camera uliopo ktk taa hii inazunguka nyuzi360 na video Zote inarekodi pande Zote.
Video Zote utakuja UNATAZAMA kupitia app ya simu ktk simu yako ya mkononi.
Camera uliopo ktk taa inasehem ya kuchomeka line ya simu Kwa ajili ya kupata internal wifi Kwa ajili ya camera YAKO kujiungamanisha na SIMU YAKO ili uweze kuona live video na recorded video
Video Zote utaona hata ukiwa HAUPO eneo la tukio Yani nje ya mkoa,wilaya au mtaa au NCHI.
UNAWEZA kuunganisha simu zaidi ya kuona ili waweze kuona video km unavoona wewe mmiliki....hivo UNAWEZA kuunga na SIMU ya mke na ya mume na Kila mtu akawa anaona popote alipo.

Kwa mahitaji ya taa hizi wasiliana nasi.
Facebook page: Gordon Technology

Call/Whatsapp 0746373222.
 
Mkuu punguza bei kubwa sana hiyo
 
Taa tu milioni 12 za kitanzania unauza, bei ya mwisho nakupa Milioni 9 kama utakubali
 
Utafikiri ni biashara ya kuuza bangi, hakuna bei wala picha ya bidhaa.
Hata bangi ina picha...Mwenye uhitaji hua Hana bwabwaja
Utakuwa mwizi wewe siyo mfanyabiasharà.
Mtu anauliza màmbo ya msingi piçha na bei unajibu ujinga.
Mkuu unaibiwaje na wkt Kuna njia nyingi za kujiridhisha kabla ya kufanya biashara....WATEJA sahihi wana namna ya kuuliza
 
Weka ka-video hata ka sekunde30, Tujionee wenyewe.
 
Back
Top Bottom