TAA YA SOLAR YENYE CCTV CAMERA(SOLAR STREET LIGHT WITH CCTV)-0746373222.

Unauza bidhaa isiyo na picha wala bei, hongera!

Taa hii inatumika nje Yani ndani ya fensi ya Nyumba,nje ya Nyumba au barabarani.

Taa hii inatumia mionzi ya jua ili kujipatia chaji na pia kuchani battery za CCTV camera.
Taa hii inafanya KAZI mbili,kutoa mwanga na pia kurekodi video na sauti.
CCTV camera uliopo ktk taa hii inazunguka nyuzi360 na video Zote inarekodi pande Zote.
Video Zote utakuja UNATAZAMA kupitia app ya simu ktk simu yako ya mkononi.
Camera uliopo ktk taa inasehem ya kuchomeka line ya simu Kwa ajili ya kupata internal wifi Kwa ajili ya camera YAKO kujiungamanisha na SIMU YAKO ili uweze kuona live video na recorded video
Video Zote utaona hata ukiwa HAUPO eneo la tukio Yani nje ya mkoa,wilaya au mtaa au NCHI.
UNAWEZA kuunganisha simu zaidi ya kuona ili waweze kuona video km unavoona wewe mmiliki....hivo UNAWEZA kuunga na SIMU ya mke na ya mume na Kila mtu akawa anaona popote alipo.

Kwa mahitaji ya taa hizi wasiliana nasi.
Facebook page: Gordon Technology

Call/Whatsapp 0746373222.
 
Mtandaoni waulizaji ni wengi kuliko wahusika halisi wenye uhitaji.....
For serious buyers anaweza kuview catalog photos on Whatsapp 0746373222.

Sasa watu wanauliza si kwa sababu hujaweka maelezo ya kutosha!
 
Mkuu bidhaa yako ni nzuri ila tangazo lako haliakis bidhaa unayotangaza, tupo kidigitali na utangaza bidhaa ya kidigitali ila unatumia njia ya analogia.

Hivi kweri umeshindwa kutuwekea kapicha hata kavideo kadogo, ama ndo ile mtandaoni jihadhali na matapeli, for sure niko interested na huduma kama yako
 
Mkuu pole Kwa changamoto waweza tuchek ktk platform zetu utapata full details..
Instagram; Gordon_technology
Facebook; Gordon Technology
Twitte(x); Gordon Technology
 
Mtandaoni waulizaji ni wengi kuliko wahusika halisi wenye uhitaji.....
For serious buyers anaweza kuview catalog photos on Whatsapp 0746373222.

Hata kule Alibaba wametahadharisha watumiaji kuwa kuna matapeli . Mawasiliano au malipo yote yatapaswa kufanyika ndani ya Alibaba na si vinginevyo. Sasa wewe umetoa tangazo JF halafu unataka watu wakufuate Whatsapp au nje ya mfumo wa JF. Huna tofauti na tapeli.
 
Bu

Business for serious buyers only!
 
Attachments

  • IMG-20241227-WA0027.jpg
    IMG-20241227-WA0027.jpg
    104.5 KB · Views: 3
Bu

Business for serious buyers only!

Nimefuatili page yako na hata hizo badhaa zote ni kutoka wavuti ya alibaba. Cha msingi toa maelezo yanayojitosheleza na ikiwezekana na weka picha sehemu ulizozifinga maana wewe ni fundi dalali.
 
kwenye bei Kila mteja atasokotwa kivyake, kutegemea na approach.
Siku hzibiashara haipo hivo, to me anything that doesn't have price tag, its a no no item!
Off the trash it goes!
 
Taa hii inatumika nje Yani ndani ya fensi ya Nyumba,nje ya Nyumba au barabarani.

Taa hii inatumia mionzi ya jua ili kujipatia chaji na pia kuchani battery za CCTV camera.
Taa hii inafanya KAZI mbili,kutoa mwanga na pia kurekodi video na sauti.
CCTV camera uliopo ktk taa hii inazunguka nyuzi360 na video Zote inarekodi pande Zote.
Video Zote utakuja UNATAZAMA kupitia app ya simu ktk simu yako ya mkononi.
Camera uliopo ktk taa inasehem ya kuchomeka line ya simu Kwa ajili ya kupata internal wifi Kwa ajili ya camera YAKO kujiungamanisha na SIMU YAKO ili uweze kuona live video na recorded video
Video Zote utaona hata ukiwa HAUPO eneo la tukio Yani nje ya mkoa,wilaya au mtaa au NCHI.
UNAWEZA kuunganisha simu zaidi ya kuona ili waweze kuona video km unavoona wewe mmiliki....hivo UNAWEZA kuunga na SIMU ya mke na ya mume na Kila mtu akawa anaona popote alipo.

Kwa mahitaji ya taa hizi wasiliana nasi.
Facebook page: Gordon Technology

Call/Whatsapp 0746373222.
Je n kampun gan ya camera coz ss tulisha amnishwaga camera nzr n @ahua na HKIV version uku kwngne after 2 yrs majanga na vtu vya solar ina punguza garama ila ina changamoto zake ebu tupe na changamoto zake?
 
Mkuu pole Kwa changamoto waweza tuchek ktk platform zetu utapata full details..
Instagram; Gordon_technology
Facebook; Gordon Technology
Twitte(x); Gordon Technology
Sasa kama kwenye hiyo mitandao umeweza kuweka details, hapa jf nini kimekushinda?
 
Mkuu pole Kwa changamoto waweza tuchek ktk platform zetu utapata full details..
Instagram; Gordon_technology
Facebook; Gordon Technology
Twitte(x); Gordon Technology
Wewe bora uachane na matangazo ya kwenye mtandao kwa sababu inaonekana huna ujuzi nao. Tangazo lako ni moja ya hatua muhimu sana ya kuvutia wateja. Tangazo lako ni lazima lionyeshe kuwa wewe uko tofauti na dealers wengine kwa kila kitu ikiwepo bei nzuri ili uweze kuvutia wateja. Kinyume chake umebaki kukebehi wateja watarajiwa.
 
Back
Top Bottom