Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Unapigwa mwanga alafu barabara haina mstari wa katikati na ile ya pembeni yaani ni balaa. Bora upigwe mwanga alafu barabara ina mistari ile inakuwa ina rangi flani ya manjano ina-reflect hivyo inakusaidia usitoke nje.lorry ikikutwanga full hamna kitu yani bora uzime😅😅😅na anga likiwa na mbalamwezi pia huoni kitu