Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Tuna Jeshi la Polisi ambalo Matumizi ya Akili yalishaachwa huko nyuma .
Inawezekana pia ikawa ni sababu ya Kutokua na Akili yaan IQ kiduchu .
Hawa watu ulitaka kujua Uwezo wao wa Akili ,pitia Walau Safari zao za Kielimu.
Wamesoma Kwa kuunga unga sana, alafu Huwa ni lazima WAKASOME DEGREE YA SHERIA AMA OPEN UNIVERSITY AU VYUO VYA MITARANO HUKO ambako Wanahonga honga ili mradi tu Apate kile atakachokiita "Sofa ya Kielimu".
Ningumu sana kumpata Polisi mwenye Taaluma ilinyooka vizuri alafu akawa na Matendo ya Hovyo Kwa hawa walivyo.
Ukweli ni kua ,UJINGA HUENDA SAMBAMBA NA ROHO MBAYA INAYOPELEKEA MATUMIZI YA NGUVU .
Ndugu msomaji, Embu Fikiria, Una Ndugu yako, umemtembelea Nyumban kwake, umekuta Mlango umevunjwa, Damu zimetapakaa, Ndugu yako huyo hapatikan kwenye simu.
Ni wazi, kama hautawaza Kauwawa basi katekwa, na Jukumu la kwanza ni kuitaka Polisi Kufatilia Hilo tukio.
Ila kwakua tuna Polisi wajinga , wenye Elimu za hoehoe na matumizi makubwa ya nguvu ,Jeshi lilojaa unafiki, udhandiki na Udifisadi, ET WANAWAAMBIA WANA FAMILIA WA POLEPOLE, THIBITISHEN KAMA KWELI AMETEKWA??.
Haya ni matope ya wapi??.
Jeshi linaloendeshwa kwa Kodi za Watanzania katika Kila Utendaji wao, Leo ndio kinataka Wananchi wathibitishe Tuhuma??.
KWA HIYO KWA SASA HAMNA HAJA TENA YA KUREPOTI MATUKIO JESHI LA POLISI.
Ndio sababu TEC wameamua kua Kimya, ila Moto mtauona hivi karibuni !!.
Polisi George na huyu Kaaya so far wamethibitisha TUNA JESHI LA OVYO KUPINDUKIA.