alphonce.NET
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,703
- 6,046
Umesahau kuweka namba za waliotapeliwa ili vyombo husika viweze kupata ushahidi wa utapeliNadhani hata humu ni mahala sahihi pakutolea taarifa hii:
Kumekua na wimbi la utapeli unaofanyika na watu wanaojipambanua kua wanahusika na kampuni ya usambazaji wa mayai ya kisasa, watu hawa uwaambia wateja watume fedha nusu kwa kiasi cha idadi ya tray za mayai wanazotaka then nusu iliyobaki watawalipa watakapo fikisha mzigo sehemu husika hivyo mtu akituma hiyo fedha basi imekua ameshatapeliwa.
Namba anayotumia kufanya utapeli ni 0786869108 mtu huyu anasema yupo kisiju na mbeya.
Hivyo vyombo husika tunaomba mshuulikie swala hili kikamilifu